Videographer nahitaji kazi

Videographer nahitaji kazi

Cantona fundi mkuu

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2023
Posts
294
Reaction score
313
Vp wakuu,

Mimi ni camera man, editor pia graphics designer, pia ni content creator.

Ila kwa sasa Sina kazi Kama unahitaji mtu mwenye ujuzi huo Mimi nipo tayari. Au Kama Kuna connection popote naomba mnijuze.

Watspp namba 0692477610.

FB_IMG_16842777183967889.jpg
 
Wakuu,

Kama kuna boss anaofisi ya photo na video production na anahitaji mfanya kazi.

Mm nipo naomba unipatie iyo kazi.

Na uzoefu wa Zaid ya miaka 5 kwny production.

Nipo Dar mbagala [emoji120][emoji120]
 
Kila la kheri. Kama una PC tengeneza tangazo zuri kuwa unafanya hivyo vitu then utanza kwa kukodi vifaa na kwenda site na mwenye vifaa. Lakini hakikisha wewe unakuwa kiherehere kama yule wa jeshi ili utengeneze network ya wateja wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu..
Km kuna boss anaofisi ya photo na video production na anahitaji mfanya kazi.
Mm nipo naomba unipatie iyo kazi..
Na uzoefu wa Zaid ya miaka 5 kwny production..
Nipo Dar mbagala [emoji120][emoji120]
Habari nitumie namba yako pm nitakucheki.
 
Mm ni videographer na photographer pi nafanya graphics designer kidogo.

Nipo dar mbagala. Age 28

Na uzoefu wa miaka 5 wa kushoot sherehe mbalimbali..upigaji picha pia nishashoot Hadi filamu kwaiy na uzoefu wakuu naombeni connection kwasasa Sina kazi yoyote [emoji120][emoji120]

0692477610
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom