Video za Vita vya Kagera


Alexism

Alexism

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Messages
2,505
Likes
1,068
Points
280
Alexism

Alexism

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2011
2,505 1,068 280
Pamoja na kuishia darasa la tisa naomba niulize na mwenyekujua anijuze.
1.Kwenye somo la historia hivi vita vinafundishwa kama tulivyosoma maji maji?
2.Kuna sababu za wazi kuhusu vita hivyo?
3.Kuna ukweli kuwa Kagera ilikuwa sehem halali kwa Waganda?
 
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Messages
4,055
Likes
736
Points
280
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2008
4,055 736 280
Dah! Enzi za vita hii nakumbuka nilikula sana biskuti na corned-beef na maharage ya makopo ambayo Wanajeshi walikuwa wakigawa kaa njugu kwa watoto wa shule za msingi.
 

Forum statistics

Threads 1,249,419
Members 480,661
Posts 29,697,507