Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,285
Lakini hata jamaa kazingua, anachojoa nguo mchana kweupe. Halafu daladala halijajaza kivilewanawake wa Kibongo ni wahuni sana, Anaweza hata kumchafulisha nguo yake mwenziwe hapo, Sijui hua wanataka nini kwa kweli, Yalishawahi kunikuta niliteseka sana, Kila nikijaribu kugeuka nayeye anakusogezea kiuno chake hukohuko.