totlo masire
JF-Expert Member
- Nov 7, 2021
- 868
- 1,404
Hatari sana hii walahi ni kama wanafahamiana
Hata mimi kitambo sana
Yaani!! Na wakati yeye ndo alipaswa akemee hicho anachofanyiwa hapo.Aisee! Huyo mwanamke alitoa ushirikiano
Inasikitisha sanaYaani!! Na wakati yeye ndo alipaswa akemee hicho anachofanyiwa hapo.
Alinaswa kwenye mtego wa hisia, na huenda hicho kitenge kilichobana kimemstiri, ingekuwa kavaa dela huenda angetoa ushirikiano zaidiYaani!! Na wakati yeye ndo alipaswa akemee hicho anachofanyiwa hapo.
Mlikuwa mnaviziana 🤣🤣Duh,hz gari hz
Niliwah kaa closer na binti fulani,wakati na ingia kila mtu alikuwa bati bati hakuna kuongeleshana lakin kutokana na miili yetu kugusana baadae binti alianza kuniongelesha na alivyoshuka aliniaga kama vile ni watu tuliokuwa tunafahamiana kitambo
Sana ndugu yangu.Inasikitisha sana
Daah!Alinaswa kwenye mtego wa hisia, na huenda hicho kitenge kilichobana kimemstiri, ingekuwa kavaa dela huenda angetoa ushirikiano zaidi
Ni kujidharaulisha sanaSana ndugu yangu.
Na hii tabia inakuwa endelevu baada ya baadhi yetu Ke kutokujitambua.
Ingekuwa saa huyo Me anafanya huo ujinga halafu Ke akaonyeshwa kuchukizwa yasingekuwepo hayo.
Wanaume wa Dar hao mkuu.Mkuu upo serious Kuna wanaume wanabambiwa ? Kiaje yani
Huyo amewakilisha ni Namna gani wanawake hua wanafurahia kudungwa mkuu.Halafu mdada anaonekana kafurahia kabisa. Aisee.
Teh teh teh teh teh 🤣 🤣🤣🤣 noma Sana haaa haaa 😄😄😄Ila daladala zina raha yake....
Alikua kwny heat hapo.Ni kujidharaulisha sana
du!!!....pale buguruni si kuna mpaka madada poa wa jero aisee?Ukute hapo uyo mjuba kashapitishwa kituo na hajaliii wala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chezea Raha Za DadaDala Wewe[emoji1751]Nibalaaaaa[emoji1751][emoji38][emoji38][emoji38].
Hao wanawake huwa wanafanya hivyo makusudi Kisha wanakupa kesi hapohapo ..wanakuchomoa 10,20 au vyovyote...nishaona hayo Morocco, na Namanga...ni mitego hiyo watu wanataka Hela ya marejesho vikoba.
Dah..?. Sema Nini..?. Wanaume sometime tunajidhalilisha sana, Hawa Dada Zetu Wanatupaga Majalibu Mengi Sana Dah..?.[emoji134]Aibu naona Mimi[emoji1751][emoji1751]
Tizama video hiiView attachment 2286911
AiseeeAlikua kwny heat hapo.