- Thread starter
- #61
Yule bmkubwa alirekodiwa akiwa hajijui hata position ya camera ilikuwa haina mwelekeo mzuri na ilikuwa kama imevaliwa shingoni au maeneo ya kifuani mwachie mchepuaji ..ilikuwa noma sana kwa family ya bmkubwa ..!
Aligundua akamwambia jamaa akasema ni kwa ajili yake.