Video ya uchi ya binti yule imenikasirisha.

Video ya uchi ya binti yule imenikasirisha.

mmmh, kutembelea ma.ta.ako kunahitaji kazi ya ziada shosti haswa pale ambapo hela haitoki mfukoni mwako. halafu naomba mwongozo nikaichabo pande zipi hicho kideo.

Nenda Rahatupu blog...utaikuta...
 
LOL! Hahahahaha mvua moja ni mwaka mmoja, kwa hiyo mvua tatu ni miaka mitatu. Kuna baadhi ya nchi huwezi ukaanika picha za uchi au video za mtu hadharani bila ridhaa yake ukifanya hivyo basi mkono wa sheria lazima utakugusa pindi muhusika akifungua mashtaka.

ndio adhabu gani hiyo? lawyer wangu EMT sijui yupo wapi.
 
Ipitishwe sheria nchini kwamba yeyote atakayepost video/picha za uchi bila ya ridhaa ya muhusika basi muhusika awe na haki ya kumpandisha kizimbani na adhabu yake ianzie mvua tatu.

Hii ipo, kuna siku nilimsikia Kova akiielezea. Kuna dada alikuwa blackmailed na njemba yake, kisa alimrekodi. Baada ya kuachana njemba alikuwa bado anamtaka, hivyo akawa anamtishia kuwa ataonyesha hizo picha. Sijui ilifikaje kwa Kova, ndo akawa anaelezea kuwa ni kosa kisheria kupost picha za mtu bila idhini yake, endapo utafanyiwa hivi na ikathibitika ni kweli, huyo mtu atakuwa matatani kisheria. Hii niliisikia kutoka kwa Kova kwenye Tv.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
LOL! Hahahahaha mvua moja ni mwaka mmoja, kwa hiyo mvua tatu ni miaka mitatu. Kuna baadhi ya nchi huwezi ukaanika picha za uchi au video za mtu hadharani bila ridhaa yake ukifanya hivyo basi mkono wa sheria lazima utakugusa pindi muhusika akifungua mashtaka.
heeeeee! nashukuru kwa ufafanuzi. yaani wanawake tuna kazi, tujilinde na mimba zisizotarajiwa, tujilinde na magonjwa, bado tujilinde na camera. bora haka kamchezo nikaache tu sasa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hmmmmm! kuacha utamu kwa muda gani?

heeeeee! nashukuru kwa ufafanuzi. yaani wanawake tuna kazi, tujilinde na mimba zisizotarajiwa, tujilinde na magonjwa, bado tujilinde na camera. bora haka kamchezo nikaache tu sasa.
 
mmmh, kutembelea ma.ta.ako kunahitaji kazi ya ziada shosti haswa pale ambapo hela haitoki mfukoni mwako. halafu naomba mwongozo nikaichabo pande zipi hicho kideo.

Heheeeeer halaf akapewa laki 2 duuuu ,,,tigo usiku kucha imeliwa si angemuuzia tu bei kubwa maana hapo kama wanapunguziana nyege sio mapenzi ya ukwelii
 
Ilizagaa sana jamaa alikiwa anagegeda ofisini kwa demu CRDB

Yule bmkubwa alirekodiwa akiwa hajijui hata position ya camera ilikuwa haina mwelekeo mzuri na ilikuwa kama imevaliwa shingoni au maeneo ya kifuani mwachie mchepuaji ..ilikuwa noma sana kwa family ya bmkubwa ..!
 
nipo shem nafuatilia mikomenti yenu tu humu...

miye nimekumis pia shem tena sana tu sema ndio wapotea weye kama fedha za eskrow...
shem nimekubakishia bilioni moja ya escrow, njo na magunia. benki kimenuka.
 
Back
Top Bottom