Video ya binti akivuta sigara

Maeneo niliyopo vitoto vya kike vidogo kama huyo ivoivo wanavuta sigara na bangi halaf hakuna anayeongea nao chochote na wanafanya hadharan hawaogopi Kwa mara ya kwanza ilibidi nisimame niwatizame vizur Allah haulla
 
Kwenye sigara pale si kuna onyo la umri kwa hiyo muuzaji nae ana kosa.
 
Hilo ni mojawapo ya athari za kuwatuma watoto (kama wazazi ni wavutaji) kwenda kununua sigara au wazazi kuvuta sigara mbele yao. Kumbuka watoto ni wadadisi sana wanataka kujua huwa inakuwaje? Ndo mana kuna maneno sehemu utakuta "Keep out of the reach of children". Lakini kwenye sigara hilo neno halipo.
 
inawezekana mkeo ashawahi kufanya hayo mambo ...kma ya mbele hukuikuta inawezekana hata ya nyuma wahuni walisha piga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…