Video ya binti akivuta sigara

Kawaulize Chama Mboga kinachwaacha vijana wanazagaa mitaani huku hio mikopo ya Halmashauri wanayosema wanaitoa wakipeana wenyewe kwa kujuana
 
Mazingira yanayo mzunguko pia yanachangia sana. Na usikute baba ni teja, Mama anauza pusy na gongo, mtaa mzima wanavuta mabangi na visungura thus sigara inaonekana kitu kidogo sana.
 
Watanzania tuache unafiki wa kufuatilia maisha ya watu. Wewe mtoa mada tukianza kukuchungiza hayaishi masaa mawili tutajua wewe ni 🌈
Ni kweli kabsa! Tupo pamoja kwenye 🌈 bila shaka! Ndege wanaofanana huruka pamoja
 
Mazingira yanayo mzunguko pia yanachangia sana. Na usikute baba ni teja, Mama anauza pusy na gongo, mtaa mzima wanavuta mabangi na visungura thus sigara inaonekana kitu kidogo sana.
Hii yoote imetokana na Mwanaume kukimbia wajibu wake wa kuilinda Familia.

Penye Mwanaume hapaharibili neno.
 
Ja
Hii yoote imetokana na Mwanaume kukimbia wajibu wake wa kuilinda Familia.

Penye Mwanaume hapaharibili neno.
Jaribu kutembelea sehemu kama Mwananyamala, tandale, andika, maandazi road msasNi, MBAGALA na slam nyingine uone aine ya wanaume waliopo 24/7 wapo high, bang, gin and etc kwao mtoto kumgonga fegi ni kitu kidogo sana
 
Na hao wanaume nao wamekuw aktk mazingira hayo hayo.....ni Generation to generation
 
Ja

Jaribu kutembelea sehemu kama Mwananyamala, tandale, andika, maandazi road msasNi, MBAGALA na slam nyingine uone aine ya wanaume waliopo 24/7 wapo high, bang, gin and etc kwao mtoto kumgonga fegi ni kitu kidogo sana
Blaza unatuonea wakata ufuta tunaoishi hayo maeneo.

Wala ganja na smart gin ni wengi ila sio vitoto vya kike vidogo. Ila vya kiume vipo sana ila vya kike haviwezi kusurvive hilo life kama havijakomaa.

Wengi unakuta ni wadada manunda, ambao walianza kua malaya, walipokubuhu na soko kushuka wanaenda kwa masela kuliwa kwa kete.
 
Kawaulize Chama Mboga kinachwaacha vijana wanazagaa mitaani huku hio mikopo ya Halmashauri wanayosema wanaitoa wakipeana wenyewe kwa kujuana
Tuweke siasa pembeni Mkuu, hili ni.swala la kimaadili. Mtu anaweza akawa na kila fursa na akawa na tabia mbaya tu.
 
Ukitafakari kwenye scale ndogo utaona ni mambo binafsi ila ukiweka kwenye picha kubwa, inatafakarisha.

Fikiria kipindi ambacho maadili yalizingatiwa sana hata kufika sehemu uhuru binafsi ukaingiliwa ili kuiweka sawa jamii, bado tumepata mafisadi, wezi, wala rushwa wa kutupa, makatili na wauaji n.k

Nchi ikabalehe, ikapitia ujana na sasa iko kwenye umri wa kustaafu, bado tu masikini wa kutupwa, tena umasikini wa kujitakia kwa kukosa nidhamu, kutojaliana, ubinafsi, matumizi mabaya ya fedha na mamlaka, tamaa za mali na ngono n.k

Sasa, picha kubwa ni kwamba, kizazi cha hao hao waliopitishwa kwenye tanuri ili wawe bora wakatoka wachafu, matokeo ya kizazi chao itakuaje?
- Taifa linafuata litakuwa na watu wa namna gani?

Sio sisi tena, wao! Hawa ambao leo tunawaita "watoto wa 2000", malezi yao kwa uzao wao yatakuaje? Matokeo ya malezi yao ni kupata taifa gani?
  • Wanawake walipambania uhuru na usawa.
  • Watoto wa 2000 wanapambania "chibaba" huku taasisi ya kimaadili ya ndoa na familia ikikaribia kutoweshwa, zaa, kaa kule, tukadaiane matumizi ya watoto ustawi wa jamii na mahakamani.

Mataifa mengine, wana mipango ya miaka 200 ijayo, kamuulize mama Abdul na genge lake wanachowaza, utakufa hapo hapo!
  • Traore ni mdogo kwa Abdul, Ridhi n.k
  • Wao sifa kubwa ni upumbavu, mwenzao sifa kubwa ni harakati za kuikomboa nchi yake kutoka kwenye dimbwi la umasikini, akiwalenga wananchi na sio circle ya majizi

Siwezi kumaliza, nikiendelea nitapoteza uelekeo.
 
Amevunja sheria namba ngapi ya nchi
 
Baada ya maelezo marefu kuwa wanawake hawawezi kumyoosha mtoto umemalizia kwa kujipiga finger unaomba msaada kwa mwanamke ambaye hawezi kufanya lolote kuhusu kadhia unayoizungumzia. Watu wanapitia mpaka jela za watoto( juvenile penitentiaries) zenye kila aina ya mateso lakini ambao huwa hawajaamua kunyooka kwa kukosa guidances sahihi huwa hawanyoosheki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…