Video: Watanzania washio Sweden wampokea kwa shangwe Balozi mpya Peter Wilbrod Slaa!

KAKADO

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
230
336
Watanzania nchini Sweden wameandaa hafla kumpokea Balozi mpya na aliyekuwa mgombea urais kwa mwaka 2010 kupitia CHADEMA ndugu Peter Wilbroad Slaa..hafla hiyo imehudhuriwa na watanzania kutoka miji mbalimbalI, lengo la kuandaa hafla ni kumpongeza balozi mteule vile vile wameahidi kutoa ushirikino kwa kupindi chote atakachokuwa balozi katika nchii hiyo.

Chini ni video ikimuonyesha Slaa akicheza mziki wa nyumbani.
 
Attachments

  • VID-20180412-WA0002.mp4
    1,012.6 KB · Views: 84
Sema waTanzania makada wa CCM huko sweden wampokea Balozi Slaa.

Ulichokiandika kinatoa jibu kuwa hujui hata kazi za mabalozi wetu nje ya nchi.

Kamuulize huyu boss wako alichokiwa anakifanya huko Uingereza na Balozi wetu nchini Uingereza

IMG_20161207_171429.jpg
 
Sie hatuna wasiwasi. Siku hizi tuna Mange KImambi anatufundisha matusi.
 
Watanzania nchini Sweden wameandaa hafla kumpokea Balozi mpya na aliyekuwa mgombea urais kwa mwaka 2010 kupitia CHADEMA ndugu Peter Wilbroad Slaa..hafla hiyo imehudhuriwa na watanzania kutoka miji mbalimbalI, lengo la kuandaa hafla ni kumpongeza balozi mteule vile vile wameahidi kutoa ushirikino kwa kupindi chote atakachokuwa balozi katika nchii hiyo.

Chini ni video ikimuonyesha Slaa akicheza mziki wa nyumbani.
2018_04_12_23.27.png
 
95% ya Watu ambao wamekuwa wakipokelewa vyema katika sehemu zao za Kazi kama Wakubwa / Mabosi ' Utendaji ' wao huwa ni mbovu na ' ufanisi ' wao ni below standard. Sijajua kwa huyu ila nikisema nitembee na ' Historia ' ya upokelewaji basi nitasema kwamba huenda Balozi Dr. Slaa asije kuwa na ' msaada ' kivile hasa Kidiplomasia.
 
Ramli
 
Ningekuemo umo leo pangechimbika wangeshangaa tu slaa ana banzi la uso ajakaa sawa ana gwara, alafu na muinua kisha na mhoji kwanini umesaliti chama la wana yani sherehe ingeharibika hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom