Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,047
- 20,411
sawa kabisa,kwahiyo waarabu ni wanafki kuliko wabunge wa ccm waliompigia makofi jk mpaka wakajamba aliposaini mikataba 17 na raisi wa china alafu leo jiwe ambaye kipindimhicho alikuwa waziri anawageuka tenaISIS inafadhiliwa pesa na Qatar, saudia, France na USA walioianzisha!
Na ndo maana Unaeza kuta magari Kama Ford ( American made) ambayo Ni marufuku kuuzwa kwa nchi Kama Syria na iran.
Lakini wait wanayo !
Br huko Sasa sio kwenyewesawa kabisa,kwahiyo waarabu ni wanafki kuliko wabunge wa ccm waliompigia makofi jk mpaka wakajamba aliposaini mikataba 17 na raisi wa china alafu leo jiwe ambaye kipindimhicho alikuwa waziri anawageuka tena
Tena hao Israel/Wayahudi wameisha wahi kutoa hadi rais wa Iran, yule Ahmedinajab, yule ni Myahudi kwa asili. Israel ni habari nyingine kabisa.Kuna kitu watu hawajui hata hapo Iran Kuna wairan kibao wenye asili ya Israel na wanaabudu freely bila tatizo.
Unajifanya umesahau siku sita walivyotwangwa hao waarabu wako wote (about 10 nations) na Mwisraeli mpaka wakaomba msamaha?
Kilichosababisha watwangwe wakati ule ndicho kitakachowasababisha watwangwe tena muda si mwingi.
Wabongo hatari sananaona waIran na WaIsrael wa tanzania mnabishana mpaka kurushiana maneno.. Watz ndo watu pekee wanaojua kiundani zaidi siri za majeshi ya nchi nyingine huenda kuliko wanajeshi husika na raia husika wa nchi hizo
Askari wa Iran wanaoliwa Syria hukusikia?israel itaangamizwa ikijaribu kurusha jiwe tehran
Al sababu lamazima wapigweMbona wewe ni mke wa netanyahu mdogo?
UKUMBUKE KUWA UKIMWI ULITENGENEZWA NA US CHINI YA MUIZRAIL ROBERT GALLO NA NDIYO WANAOLETA DAWA TENA KWA BEI KUBWA SASA CJUI TUWASIFIE AU TUWACHUKIE LAKINI KAMA NI MWATHIRIKA HALAFU UKAIJUA HISTORIA YA HIV NATUMAI UNGEKUTANA NA MMAREKANI UNGEMTWANGA NA RUNGUWaarabu wa Tanzania bwana kazi kweli kweli, neti mnazolalia ni za mmarekani, mkiumwa ukimwi dozi mnataka mpewe bure na huyo huyo mmarekani ambaye ni muisraeli tu kiasil
iran hakuwa mmoja waoUnajifanya umesahau siku sita walivyotwangwa hao waarabu wako wote (about 10 nations) na Mwisraeli mpaka wakaomba msamaha?
Kilichosababisha watwangwe wakati ule ndicho kitakachowasababisha watwangwe tena muda si mwingi.