Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,042
- 20,404
sawa kabisa,kwahiyo waarabu ni wanafki kuliko wabunge wa ccm waliompigia makofi jk mpaka wakajamba aliposaini mikataba 17 na raisi wa china alafu leo jiwe ambaye kipindimhicho alikuwa waziri anawageuka tenaISIS inafadhiliwa pesa na Qatar, saudia, France na USA walioianzisha!
Na ndo maana Unaeza kuta magari Kama Ford ( American made) ambayo Ni marufuku kuuzwa kwa nchi Kama Syria na iran.
Lakini wait wanayo !