Video: Uwezo wa kutisha wa jeshi la Iran, makombora 100,000 ndani ya dk 7 tu Israel itageuzwa majivu

ISIS inafadhiliwa pesa na Qatar, saudia, France na USA walioianzisha!
Na ndo maana Unaeza kuta magari Kama Ford ( American made) ambayo Ni marufuku kuuzwa kwa nchi Kama Syria na iran.
Lakini wait wanayo !
sawa kabisa,kwahiyo waarabu ni wanafki kuliko wabunge wa ccm waliompigia makofi jk mpaka wakajamba aliposaini mikataba 17 na raisi wa china alafu leo jiwe ambaye kipindimhicho alikuwa waziri anawageuka tena
 
sawa kabisa,kwahiyo waarabu ni wanafki kuliko wabunge wa ccm waliompigia makofi jk mpaka wakajamba aliposaini mikataba 17 na raisi wa china alafu leo jiwe ambaye kipindimhicho alikuwa waziri anawageuka tena
Br huko Sasa sio kwenyewe
 
Katika wapumbavu ma majuha Wewe ni nambari wani. Kama Wao na wanaume ni wayarushe tu Halafu waone ni vipi Israeli linaitwa Taifa teule!
 
Kuna kitu watu hawajui hata hapo Iran Kuna wairan kibao wenye asili ya Israel na wanaabudu freely bila tatizo.
Tena hao Israel/Wayahudi wameisha wahi kutoa hadi rais wa Iran, yule Ahmedinajab, yule ni Myahudi kwa asili. Israel ni habari nyingine kabisa.
Nakumbuka wakati Saadam Hussein akiwa hai, kwenye oja ya vikao vyao Waarabu alipendekeza hivi, "Israel ina nunua mafuta kwetu (nchi za kiaraabu ) kama kweli tunataka kuiangamiza, tuache kuiuzia kabisa mafuta, itashika ADABU" kwenye icho kikao aliijiwa ju na maraisi wenzie hadi hata yeye akashangaa; cha kujiuliza nihicho, kwanini hakuungwa mkono na his fellow ARABS!? Ipo siri kubwa sana tusioijua kuhusu hawa watu.
 
Kwani aliyekwambia Mu-Iran Ni mwarabu nani, Iran na waarabu mbingu na ardhi soma historia ya Iran mkuu...
Unajifanya umesahau siku sita walivyotwangwa hao waarabu wako wote (about 10 nations) na Mwisraeli mpaka wakaomba msamaha?
Kilichosababisha watwangwe wakati ule ndicho kitakachowasababisha watwangwe tena muda si mwingi.
 
Iran angekuwa na nguvu kihivyo kweli wangeishawavurumisha Israel lkn ni watu wa propaganda tu siku zote, hawawezi kucheza na Israel.

Iran wanapenda sana vita vya kutumia "Proxies" ila wao wenyewe kwenda front line hawawezi.
 
naona waIran na WaIsrael wa tanzania mnabishana mpaka kurushiana maneno 😄 😄 😄.. Watz ndo watu pekee wanaojua kiundani zaidi siri za majeshi ya nchi nyingine huenda kuliko wanajeshi husika na raia husika wa nchi hizo
 
Kama Iran ni bustani ya Eden nchi yenye nguvu na utajiri mbona inazalisha wakimbizi kuliko hata bongo tena wanakimbilia kwa nchi za makafir na Trump alipo piga marufuku wasikanyage US walilia sana na kuandamana kulikoni ama mimi ndio sijaelewa
 
Waarabu wa Tanzania bwana kazi kweli kweli, neti mnazolalia ni za mmarekani, mkiumwa ukimwi dozi mnataka mpewe bure na huyo huyo mmarekani ambaye ni muisraeli tu kiasil
UKUMBUKE KUWA UKIMWI ULITENGENEZWA NA US CHINI YA MUIZRAIL ROBERT GALLO NA NDIYO WANAOLETA DAWA TENA KWA BEI KUBWA SASA CJUI TUWASIFIE AU TUWACHUKIE LAKINI KAMA NI MWATHIRIKA HALAFU UKAIJUA HISTORIA YA HIV NATUMAI UNGEKUTANA NA MMAREKANI UNGEMTWANGA NA RUNGU
 
Unajifanya umesahau siku sita walivyotwangwa hao waarabu wako wote (about 10 nations) na Mwisraeli mpaka wakaomba msamaha?
Kilichosababisha watwangwe wakati ule ndicho kitakachowasababisha watwangwe tena muda si mwingi.
iran hakuwa mmoja wao
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom