Video: Uwezo wa kutisha wa jeshi la Iran, makombora 100,000 ndani ya dk 7 tu Israel itageuzwa majivu

MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
2,850
Points
2,000
Age
32
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
2,850 2,000
Chukua ramani yako ,cheki israel ilipo,cheki iran ilipo,na utaona kwanini iran aliamua kutengeza landbridge kutoka iran,kupitia iraq hadi syria na hatimae golan,lengo la iran ilikuwa in case ikatokea vita kati yake na israel,
iran walitaka kuestablish two frontline mpakani mwa israel,kwa maana ya kuwepoi na frontline lebanon kusini,na pia kuwepo na frontline pale quinetra syria,na pia sasa wamentain supply line,
hicho ndo kiliwashitua iasrael,
israel anajua kutoka israel mpaka iran karibu km 2500 na kuwa ili ndege za israel zifike iran kupiga zinahitaji kufanya refuelling,
nchi pekee inayoweza kukubali kufanya refueling ni saud,
hata kama wakitumia tanker,lazima wawe na plan B,kwani Tanker halinaga ulinzi,likipigwa na kuangushwa,it means ndege zote zilizo kwenye operation zitadoda na kuishia mafuta na kudondoka tu,
kwahiyo saud anajiamini,anaweza kumkubali kumpa mafuta na kama kituo cha kutua baada ama kabla ya operation,
ukicheki saud ilipo,saud ni sitting target kwa iran,iko ng'ambo tu ya persian gulf,iran haihitaji nguvu nyingi kuiharibu saud juu ya proximity,
tatizo israel hana uwezo wa kudrop troops ndani ya iran,lakini kwa upande wa iran tayari na vikosi mipakani mwa israel na syria,lebanon,gaza

Saudi nao ni mapunguani kwamba wakae tu wakati huyo Iran anarusha makombora au

THAAD ipo, kudili na makombora sio ishu labda useme na makombora nayo hao Iran wanayo makombora stealthy
 
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
2,850
Points
2,000
Age
32
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
2,850 2,000
Chukua ramani yako ,cheki israel ilipo,cheki iran ilipo,na utaona kwanini iran aliamua kutengeza landbridge kutoka iran,kupitia iraq hadi syria na hatimae golan,lengo la iran ilikuwa in case ikatokea vita kati yake na israel,
iran walitaka kuestablish two frontline mpakani mwa israel,kwa maana ya kuwepoi na frontline lebanon kusini,na pia kuwepo na frontline pale quinetra syria,na pia sasa wamentain supply line,
hicho ndo kiliwashitua iasrael,
israel anajua kutoka israel mpaka iran karibu km 2500 na kuwa ili ndege za israel zifike iran kupiga zinahitaji kufanya refuelling,
nchi pekee inayoweza kukubali kufanya refueling ni saud,
hata kama wakitumia tanker,lazima wawe na plan B,kwani Tanker halinaga ulinzi,likipigwa na kuangushwa,it means ndege zote zilizo kwenye operation zitadoda na kuishia mafuta na kudondoka tu,
kwahiyo saud anajiamini,anaweza kumkubali kumpa mafuta na kama kituo cha kutua baada ama kabla ya operation,
ukicheki saud ilipo,saud ni sitting target kwa iran,iko ng'ambo tu ya persian gulf,iran haihitaji nguvu nyingi kuiharibu saud juu ya proximity,
tatizo israel hana uwezo wa kudrop troops ndani ya iran,lakini kwa upande wa iran tayari na vikosi mipakani mwa israel na syria,lebanon,gaza
Saud ni nchi tajiri kuliko Iran ndio maana wanatumia hela nyingi kununua Silaha kuliko hata Germany ambayo ni nchi ya nne kwa utajiri duniani. So far makombora ya kiajemi kama shahab sijui wanaweza kutishiwa nchi masikini na zisizojielewa
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,247
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,247 2,000
Israel amekuwa akishambulia syria kujaribu kuepusha huu msala,mwezi april alishambulia kambi ya T4 huko syria iliyokuwa ikihitumika pia na kikosi cha iran cha drone na kufanikiwa kuua askari 7 wa iran,hiyo ilipelekea mwezi mei ,kukatokea vita ya mda mfupi huku israel akilaumu askari wa iran wameshambulia golan na hivyo wao wamelipa kisasi na kuteketeza asilimia 80 ya vikosi vya iran na pia wameharibu nusu ya air defence ya syria,wakadai hayo ni mashambulizi ya aina yake waliyowahi kufanya,

vumbi lilipotulia kumbe wameharibu Pantsir moja tu na Rada moja na kuharibu nyumba kadhaa tupu,kwani syria walijua shambulio liko njiani,
harakati zote za iasrael kujaribu kuzuia iran militias pale syria ni kama hazizai matunda,
iran anazidi kujiestablish kuanzia iraq mpaka syria,
ndo maana marekani sasa kaamua aingie mwenyewe kazini kuzuia influence ya iran ndani ya iraq,syria ,lebanon,
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,247
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,247 2,000
Saud ni tajiri kuzidi iran,na ina air defence ya kisasa toka marekani,
lakini scud za myemen kila siku zinapenya,
sasa just imagine kama makombora moja moja ya myemen yanatua saud,
vipi kama iran anafyatua makombora ya masafa mafupi ndani ya saud?,
vipi kama iran troops watafanya landing pwani ya saud,
hii ndo sababu imeifanya saud arabia kuzindua project yake ya nuclear ili waweke deterrent dhidi ya iran,
actually uadui wa saud na iran ni mkali kuliko ule wa iran na israel
 
Mmashariki ya kati gani atamsupport Iran badala ya kumsupport muarabu mwenzake Saud?

Hiyo kuland Pwani kwani Saud anashindwa nae kuland pwani ya Uajemi?

Swadaqta kabisa kuwa uadui wa mashariki ya kati basi ni uaduo kati ya Saud na Iran
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,247
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,247 2,000
Even if tukisema ndege za israel zikaweza kupenya anga la iran,zinaweza kushambulia target zote muhimu za iran bila kupoteza ndege,kwa ukubwa wa iran hiyo ni very unlikely,ukichukulia target zimesambaa nchi nzima na ile nchi ni kubwa,
sanasana israel watajaribu kutumia makombora yao ya jericho,au makombora ya LORA,
au hata kutumia submarine zao za Dolphine,ambazo hata hivyo hizo zinabeba makombora manne manne tu ya nuclear,
issue hapa iran anaweza kuabsorb mashambulizi hayo kwa mda kuzidi israel inavyoweza kuhimili mashambulizi ya makombora juu ya udogo wa israel,
it comes down to US,
marekani ndo pekee inaweza kuproject force ya kuikalisha iran,baada lakini ya kuingia gharama kubwa sana,
ndo maana Tump,alimwambia mshauri wake wa usalama kuwa hataki vita na iran,
pale persian gulf kwasasa hakuna aircraft carrier ya marekani,
na juzi juzi hapa marekani wameng'oa patriot air defence toka kuwait na bahran na kuzihamishia poland na maeneo mengine karibu ya russia,baada ya kuona wanatakiwa kupay attetion zaidi katika maeneo arround Russia na china,kuliko midle east,kwani huko ndiko tishio hasa kwa marekani lilipo
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
31,247
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
31,247 2,000
@MASAMILA,saudi iko very well armed,airforce ya saud kwa vifaa iko karibu sawa na ya israel,
sasa jiulize kwanini wanashindwa kuiteka bandari ya Hodeyda kule yemen?,
wana kila kitu,kila kifaa cha kisasa cha kivita lakini kwa mwaka wa pili ili bandari wameshindwa kuiteka,na wanatumia hadi askari wa kulipwa,makomandoo wastaafu wa kimarekani,sudan,pakistan,misri etc,

wamesharibu mara kadhaa kuland pale na kila mara wanaishia kutekwa na kumalizwa,
so how do you land in iran,
taifa ambalo limejiandaa kwa hiyo scenerio kwa miaka karibu 30?
 
Nadhani hiyo vita ya Yemen hakujawa na useriuos mkubwa.
 
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
1,198
Points
2,000
STRUGGLE MAN

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
1,198 2,000
VITA SI LELEMAMA MKUU, UNAPOTEZA HELA NYINGI SANA, UNAPOTEZA WANAJESHI NK, WASIMUIGE MAREKANI, MAREKANI HUWA ANAVAMIA KWA MASLAHI NDIO MAANA ALIPOMALIZA IRAQ ALIIBA MABILIONI YA DHAHABU NA MAFUTA, AKAIBA MATRILION YA HELA ZA IRAQ KWENYE BANK, ALIFANYA UCHAFU MWINGI SANA KWA KUJIAMINI
Nadhani hiyo vita ya Yemen hakujawa na useriuos mkubwa.
 
N

Nantahulila

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2018
Messages
656
Points
1,000
N

Nantahulila

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2018
656 1,000
VITA SI LELEMAMA MKUU, UNAPOTEZA HELA NYINGI SANA, UNAPOTEZA WANAJESHI NK, WASIMUIGE MAREKANI, MAREKANI HUWA ANAVAMIA KWA MASLAHI NDIO MAANA ALIPOMALIZA IRAQ ALIIBA MABILIONI YA DHAHABU NA MAFUTA, AKAIBA MATRILION YA HELA ZA IRAQ KWENYE BANK, ALIFANYA UCHAFU MWINGI SANA KWA KUJIAMINI
Unaweza ukatoa ushahidi wa madai yako mkuu?
 
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
4,101
Points
2,000
Age
34
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
4,101 2,000
Pumbavu kweli unataka kulazimisha kila mtu aipende Iran?
Wewe ndo jinga hasa,let everyone walk his choice.
Kama Iran ana nguvu hizo aende kuivamia Israel na kuikomboa Jerusalem kisha awape Palestinians.
Halafu hiyo video ni Photoshop,wewe umejaa ushabiki hata akili huna.
Hakuna taifa lolote duniani iwe US au Russia lenye uwezo wa kurusha Ballistic missiles 100,000 kwa dk 7.
Kwanza unajua maana ya Ballistic missiles? Unajua gharama ya Ballistic missile moja?
Na hakuna taifa lolote Duniani linalomiliki Ballistic missiles 100,000.
Kawadanganye watoto wenzako.
Kajambe mbele hahaha
 
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Messages
2,872
Points
2,000
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2016
2,872 2,000
Wasiokuwa na marinda utawajua tu,wakuu naomba mnisaidie hivi irani ni mwarabu au ni mwajemi?
Ni Mwajemi. hiyo ya waarabu sijui nani kamdanganya,,,ndiomaana wazungu wamewaaminisha hawa viumbe kuwa waarabu/waislamu walihusika na utumwa nao wakaamini ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Messages
2,872
Points
2,000
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2016
2,872 2,000
Ukipata jibu unitag, maana nakuona unawashwa washwa.
Nani amekudanganya wairan ni waarabu!! Si ndio ninyi hao hao mzungu kawaletea vijitabu vya primary na mipicha iliyochorwa eti waislamu/waarabu ndo wameleta utumwa!!! Zindukeni bwana msiwe watu wakukaririshwa na wazungu.
 
mwamgogwaferdinand

mwamgogwaferdinand

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2017
Messages
713
Points
1,000
mwamgogwaferdinand

mwamgogwaferdinand

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2017
713 1,000
Si wanasemaga ni taifa teule
 
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
3,110
Points
2,000
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
3,110 2,000
Mkuu kwahiyo wewe hunyi!! Aise kumbe uko peponi eee,,,raha sana ๐Ÿ˜€
Mimi nanya mkuu ila namshangaa huyo jamaa anaelinganisha Tanzania na Israel wakati misri tu hatuifikii hata robo ambayo kwa israel (kimaendeleo) si lolote.
 
Forum statistics

Threads 1,296,485
Members 498,655
Posts 31,249,842
Top