Video: Uwezo wa kutisha wa jeshi la Iran, makombora 100,000 ndani ya dk 7 tu Israel itageuzwa majivu

Kwa hiyo nini kiliwafanya hao hizboolah wasiifute Israel?
 
Wewe usie zwazwa iran ni mzungu ? Nchi zote zile za iran, iraq na saud nk zote ni waarabu. Umezoea kukurupukia mambo ? Angalia utapoteza ma.rinda boya wewe
Naomba nkupe pole kwA Kung,an'gania eti Iran Ni waarabu..kwA

Kwa kiswahili wairani tunawaita WAAJEMI AU MAFURSI.
 
Wewe punguza viroba hivi wengine bado mnavipata.
 
iran ni mzungu or?
na hao isis si korea, russia na iran ndio inawafadhili?
ISIS inafadhiliwa pesa na Qatar, saudia, France na USA walioianzisha!
Na ndo maana Unaeza kuta magari Kama Ford ( American made) ambayo Ni marufuku kuuzwa kwa nchi Kama Syria na iran.
Lakini wait wanayo !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…