Video: Uwezo wa kutisha wa jeshi la Iran, makombora 100,000 ndani ya dk 7 tu Israel itageuzwa majivu

Mbona hamsemi Isareal ilivyo chapwa na hizzbullah 2006 mpka akalazimisha vita imalizike na waziri mkuu akalazimishwa kujiuzulu ni mara ya kwanza isreal ilichapwa na tank zake mackvera hazikutamba na meli za kibita hizbullah walizizamisha sasa unafikiri ISREAL NDIO MBABE KILA SIKU? Mbona misri alimpiga 1973 akabomowa Barlev line na amjaribu IRAN SIO YULE IRAN WA ZAMANI
Kwa hiyo nini kiliwafanya hao hizboolah wasiifute Israel?
 
Wewe usie zwazwa iran ni mzungu ? Nchi zote zile za iran, iraq na saud nk zote ni waarabu. Umezoea kukurupukia mambo ? Angalia utapoteza ma.rinda boya wewe
Naomba nkupe pole kwA Kung,an'gania eti Iran Ni waarabu..kwA

Kwa kiswahili wairani tunawaita WAAJEMI AU MAFURSI.
 
Mbona hamsemi Isareal ilivyo chapwa na hizzbullah 2006 mpka akalazimisha vita imalizike na waziri mkuu akalazimishwa kujiuzulu ni mara ya kwanza isreal ilichapwa na tank zake mackvera hazikutamba na meli za kibita hizbullah walizizamisha sasa unafikiri ISREAL NDIO MBABE KILA SIKU? Mbona misri alimpiga 1973 akabomowa Barlev line na amjaribu IRAN SIO YULE IRAN WA ZAMANI
Wewe punguza viroba hivi wengine bado mnavipata.
 
iran ni mzungu or?
na hao isis si korea, russia na iran ndio inawafadhili?
ISIS inafadhiliwa pesa na Qatar, saudia, France na USA walioianzisha!
Na ndo maana Unaeza kuta magari Kama Ford ( American made) ambayo Ni marufuku kuuzwa kwa nchi Kama Syria na iran.
Lakini wait wanayo !
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom