VIDEO - Ukimchezea Simba Sharubu...

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;">
</td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
5021478.jpg

</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top">
Video hii ya kusisimua nywele ilichukuliwa nchini Ukraine wakati mcheza sarakasi aliponusurika kuiga dunia wakati simba aliokuwa akicheza nao walipomgeuzia kibao na kutaka kumgeuza asusa mbele ya umati wa watu.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Katika tukio hilo lililotokea katika mji wa L'viv nchini Ukraine, mcheza sarakasi Oleksie Pinko alinusurika kuiaga dunia wakati simba wawili kati ya watano aliokuwa akicheza nao walipomgeuzia kibao.

Mwanzoni mwa video ya tukio hilo, Pinko anaonekana akichechemea baada ya kushambuliwa mara ya kwanza na simba, lakini alipojifanya kidume na kuendelea kumtishia simba fimbo ndipo alipogeuziwa kibao na kushambuliwa na simba wawili wa kiume.

Watazamaji walisikika wakipiga kelele kuonyesha kushtushwa na tukio hilo lakini hali ilizidi kuwa mbaya kwa simba wawili kucharuka na kuendeleza mashambulizi yao.

Wacheza sarakasi wengine walitumia fimbo na maji kuwafukuza simba hao ili kuokoa maisha ya mwenzao.

Hadi mcheza sarakasi huyo alipookolewa, watazamaji wote walikuwa wameishakimbia na kuuacha ukumbi mtupu kwa kuhofia simba wanaweza kupenya fensi iliyokuwa ikiwatenganisha.

chanzo: NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.



</td></tr></tbody></table>
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom