Halafu watu tukisema, wanakuja mazuzu wengine na kudai eti tuna chuki na Kagame! Hawana hata japo ya tone la akili ya kuiuliza kwamba hivi mtu na chuki binafsi Kagame kwa minajili ipi!
Halafu watu tukisema, wanakuja mazuzu wengine na kudai eti tuna chuki na Kagame! Hawana hata japo ya tone la akili ya kuiuliza kwamba hivi mtu na chuki binafsi Kagame kwa minajili ipi!
If you have been carefully following MUKAMASIMBA's comments they are double edged. He's denying the involvement of Kagame at the same time bashing Tanzania committing troops to the UN intervention Brigade. Think about it! ..... why is he hurting over Tanzania and the entire SADC forces helping FARDC? You wanna waste your time engaging in arguments with such a guy?
Na wenye akili zao wakawauliza, kwamba tangu lini trained soldiers waka-fail na militants!bravo tpdf,ata mimi nakumbuka wanyaru walikuja na upuuzi mwingi eti jesh la waasi wanajua vita ya msituni. Je misitu imeisha ndio maana wameshindwa?rwanda alipeleka batalion 2, je zimezimikia wapi? Waamiaji wa kinyaru wamerudi na congo tumewakonoli
Kasheshe wengine wakijakukutwa ni from TZ sijui itasemwaje
kanzu nzuri sana inayofanywa congo na vijana wetu,ktk kitu mimi nina imani nacho nchi hii ni tpdf,jeshi letu ni moja ya majeshi imara kabisa barani afrika.
Walikuwa kazini, they pay you au unakataa kazi wewe