Video: Ufuska wa kihuni Mashuleni

Video: Ufuska wa kihuni Mashuleni

Halafu imesambaa mpaka aibu.Wenyewe walifanya siri eti matokeo yake ikaja kusambaa whatsapp faster.
 
Jamani...mweee wanang'atana midomo au vipi. mbona sijaona damu?
 
Aise hii mbona ni kama naota vile huyu si kijana wangu huyu hebu ngoja nimuite mama nanihii eti we nani.

Hawa watoto mbona balaa hili ni shule gani hii?
 
Yawezekana ni maadili ya wanafunzi binafsi lakini watu kufanya upuuzi wakiwa wamevaa sare za shule kwenye majengo ya shule na bado hawajaishia hapo wakaamua kurekodi na kusambaza kuonyesha umwamba wao juu ya wengine kwamba wanaweza kufika mbali kiasi gani.

Wazazi huwa wanaamini sana haya mashule kuwa yanasaidia nidhamu za wanafunzi kuwa njema lakini kiuhalisia baadhi mazingira ya shule si rafiki kurekebisha nidhamu badala ni sehemu kuharibu hata ile ndogo waliotoka nayo nyumbani.

Hii shule wamechafua jina lao.
 
Sijaona ufuska wowote zaidi ya kunyonyana.
 
Unafikiri kuna doctor, injinia au accountant material hapo? Mimba full kujiachia hata kabla hawajamaliza form four.
 
Akili za madada wasiojitambua, inakuaje unakubali kupigwa picha ya uchi? Kwanini msipige wote uone km atavujisha. sasa wewe kwa Akili yako anakuteka Oohh bby naomba sijui nini huko ili akuone unampenda na wewe unaenda kutanua PAPA na kupigwa picha.
 
Hapo mshua anatoka jasho Posta kila siku na kugombania daladala afu toto lake la kike limeshikwa huku!
 
Umefika wakati watoto wetu tunawasiwasi kununua wakati sisi ni Warrick na tuna tamaduni na mabadiliko yetu..
 
Back
Top Bottom