Video: Uchochezi wa Lowassa huu hapa

kunakitu kingine inapaswa kujiuliza nasi kutoa majibu abao hatuyafahamu kwa nini tunataka kumlaumu mtu kwakitu hatukijui
 
Tatizo ni kua una akili ndogo sana. Hakuna ukweli ? Kuna mapadri wangapi wapo kizuizini japo hata kwa siku moja. Usipindishe ukweli. Waislamu in ndugu zetu sana. Hakuna msiba was mkristo ukakosa muislamu vivyo hiviyo kwa muislamu. Tafadhali usitugawe .mkimaliza waislamu mtakuja hawa Walutheri ss Wakatoliki. Acha upuuzi kwa mara nyingine tena.
 
Mbona maneno ya kawada kabsa hayo ?
Tena kwenye hafla?
Sasa ikatokea mtu kadhamiria uchochezi wenyewe itakuwaje?
Tunatiana taharuki bila sababu za msingi kabisa
 
Mimi sioni kasoro yoyote katika kauli yake, bado ukweli upo pale pale mashehe waachiwe, haki za binadamu zinakiukwa

Tatizo haliko kwenye matumizi ya lugha peke yake, msikilize vizuri anawa mfano jinsi waislam 'walivyoongea' wakati wa Mzee Mwinyi. Sijui una umri gani lakini kwa watu waliokula chumvi kidogo wanakumbuka nini kilitokea kipindi hicho. Mungu apitishe mbali.
 
Kama kweli Lowassa aliongea hivyo mbona walichelewa sana kumkamata huyu mtu!
kwa Kosa gani? Lugha ambayo huwa serikali inaielewa ni ipi? Unajua alimaanisha nini? Ukisema lugha ambayo mbunge ataielewa ni ipi ? Mtu anaweza kusema 2020 tutatumia lugha ambayo ccm watatuelewa kuwa hatufurahishwi na wao ( akiwa na maana 2020 tutawachagua wabunge wa upinzani)
 
Kulitokea nini wakati wa mwinyi ambacho ni kosa Ktk katiba yetu ya sasa?
 
Swali la msingi je hao mashekhe wana kosa? Kama wanalo wapelekwe mahakamani kama hawana waachieni sote duniani tunapita, sioni kosa la edo hapo maybe am stupid.
 
Mleta mada usitushawishi kuwa uelewa wako Mkubwa au Mdogo ndiyo hitimisho. Huna sababu ya kujaribu kuhitimisha kwa mawazo yako bora au duni. Ni vema kuvuta Subira hadi kule atachoeleza kitakapopata tafsiri kamili.
 
Mabwege yanajionaga maungwana halafu madhalimu ya haki za watu yanaishi kwa khofu kama makunguru ya mjini kwa sabab yanajua wazi juu ya maovu yao kwa watu

Hivi sijui kwanini mungu anayaacha haya matakataka ktk dunia hiii
 
Kwa kutamka hivyo ni vyema akagusa mahakamani akawasalimie akina Reg na Sigh....Tz sio Kenya.
Bado hatujaichoka amani ki hivyo atakavyo.
 
Walivyo wa jabu na hii wataipeleka mahakamani! Loooooooooooooo salale!
KWA TANZANIA
Tanzania Media Act brings trouble for journalists | DOHA CENTRE FOR MEDIA FREEDOM

KWA INDIA
Sedition ingredients:
It is important to note that under the Indian law of sedition, the events at the public meeting, even if completely true, do not even come close to establishing an offence. In Kedar Nath Singh’s Case, 5 judges of the Supreme Court – a Constitution bench – made it clear that allegedly seditious speech and expression may be punished only if the speech is an ‘incitement’ to ‘violence’, or ‘public disorder’. Subsequent cases have further clarified the meaning of this phrase. In Indra Das v. State of Assam and Arup Bhuyan v. State of Assam, the Supreme Court unambiguously stated that only speech that amounts to “incitement to imminent lawless action” can be criminalised. In Shreya Singhal v. Union of India, the famous 66A judgment, the Supreme Court drew a clear distinction between “advocacy” and “incitement”, stating that only the latter could be punished.

Therefore, advocating revolution, or advocating even violent overthrow of the State, does not amount to sedition, unless there is incitement to violence, and more importantly, the incitement is to ‘imminent’ violence. For instance, in Balwant Singh v. State of Punjab, the Supreme Court overturned the convictions for ‘sedition’, (124A, IPC) and ‘promoting enmity between different groups on grounds of religion, race etc.’, (153A, IPC), and acquitted persons who had shouted – “Khalistan zindabaad, Raj Karega Khalsa,” and, “Hinduan Nun Punjab Chon Kadh Ke Chhadange, Hun Mauka Aya Hai Raj Kayam Karan Da”, late evening on 31 October 1984, i.e. a few hours after Indira Gandhi’s assassination – outside a cinema in a market frequented by Hindus and Sikhs in Chandigarh.

Thus, words and speech can be criminalised and punished only in situations where it is being used to incite mobs or crowds to violent action. Mere words and phrases by themselves, no matter how distasteful, do not amount to a criminal offence unless this condition is met.
 
inawezekanaje mtu anakaa jela miaka yote hiyo ,kama hakuna ushahidi WAACHIWE HURU,sisi sote ni binadamu bwana
 
Si Waislamu tu, ningependa Watanzania wote wanaojitambua tuongee lugha ambayo Serikali inaitambua. Maana kwa sasa Majuha yote ya CCM yanaongea lugha ya kumtukuza mtukufu. Hiyo si lugha inayoweza kutuletea maendeleo, maana tumeiongea kwa zaidi ya miaka hamsini, tulichoambulia ni ufukara na udikteta uchwara. Sasa tuseme imetosha.
Halafu katika mila za kiafrika ni makosa kwa mtu mmoja kujifanya ndiye 'kijogoo' peke yake kati ya wanaume wenzake wote!! Haikubaliki na ikifikia hapo hakuna njia nyingine isipokuwa kuongea lugha inayoeleweka kwa serikali!
 
Ukiangalia kinachoendelea pwani pamoja na siasa za ubaguzi zilizopandikizwa na masheikh wa uamasho, kipindi hilki serikari inaitaji kujenga daraja na waislamu kuongeza ushirikiano.

Irresponsible kabisa alichosema, ebu awekwe ndani ata kwa wiki kwa kutaka kuvuruga upelelezi wa polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…