Video: Tundu Lissu azozana na polisi mahakamani, amtetea mteja wake

kuna ulazima wa police kusomea sheria sasa ubaya police wetu wa sasa ndio atleast ila kule nyuma ata kusoma walikuwa shida na wengi darasa la saba sasa darasa la saba akikutana na degree ya sheria ndo inakua shida mpya sasa
 
Lissu asijisahau huyo bado ni Askari kauli za kujaribu mdhalilisha mbele ya umma zitamletea matatizo na hao watu....wanaishi kwa visasi
huo ndo ule uoga wa kitanzania... sijui mmelogwa
 
Ohhhhh,ohhhhhhh,ohhhhhhh..Lissu bhana nimecheka kweli Raha sana kumsikiliza huyu Jamaa hata kama humpendi anakushawishi Umpende
 
Hapo polisi wamesuasua kwasababu Lisu ni Mbunge na hizo camera zinachukua,bila hivyo huyo kijana angesombwa kwa mwendo mbaya huwa hawapendi kubishiwa hao na wanaumoja wakiitana inakuwa noma.
 
ni nani alisema askari lazima ajue sheria za mahakama ?tuache unyumbu
 
Back
Top Bottom