Video: Tundu Lissu azozana na polisi mahakamani, amtetea mteja wake

Polisi walio wengi wa Tz huwa hawatumii vichwa vyao ktk kufanya kazi zao,Bali amri kutoka kwa wanasiasa kwa maslahi ya wanasiasa! Wanasiasa kwanza hasa wa chama twawala mbele weredi na sheria za nchi nyuma mf Mauaji ya Mwangosi,kumtishia Nape Bastola,Kuzuia maandamano pasipo na sababu za msingi nk nk hayo yote ni ukiukwaji wa sheria na haki za msingi za binadamu
 
Lissu asijisahau huyo bado ni Askari kauli za kujaribu mdhalilisha mbele ya umma zitamletea matatizo na hao watu....wanaishi kwa visasi
 
Back
Top Bottom