Video: RPC wa Songwe ajiangalie, Wananchi wa Tunduma waangusha maombi mazito hadharani na kumshitakia Mungu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,832
218,516
Kwa sasa hakuna eneo ambalo wanachama na viongozi wa CHADEMA wanakamatwa kama kuku kama wanavyokamatwa wanachadema wa Tunduma, Kwa jinsi polisi inavyotumwa na CCM ndivyo inavyotekeleza bila hata kuchuja.

Wagombea kadhaa wa udiwani wa CHADEMA Akiwemo Meya wa halmashauri Mstahiki Ally Mwafongo wamekamatwa kwa kesi za kutengenezwa ili tu kuiwezesha CCM kushinda, hata hivyo kwa hatua ya sasa wananchi wa Tunduma wameamua kumshitakia Muumba wao ili atende atakavyoona inafaa.

 
Kuna kila dalili kuwa mwaka huu 2020 Mungu atatutetea WATANZANIA
KABLA YA KAMPENI KUKAMILIKA WANACCM HAWATAAMINI MATUKIO MAKUBWA NA MAZITO YATAKAYOWAKUTA;
1. Kutatokea mifarakano mikubwa kati yao

2. Watageukana na kutoa diri nyongi

3. Wakubwa watadondoka majukwaani kwa aibu

4. Wananchi watawachukia sana

5. Watashindwa kujinadi na WATAZOMEWA KILA MAHALI

6. Wasanii wataishiwa pumzi

7. Wataongea lugha za kutatanisha na kulaumiana

TUSUBIRI
 
Kuna kila dalili kuwa mwaka huu 2020 Mungu atatutetea WATANZANIA
KABLA YA KAMPENI KUKAMILIKA WANACCM HAWATAAMINI MATUKIO MAKUBWA NA MAZITO YATAKAYOWAKUTA;
1. Kutatokea mifarakano mikubwa kati yao

2. Watageukana na kutoa diri nyongi...
Naamini kuna watakao kimbia nchi kabla matokea hayajatangazwa, ccm ni waoga sana ni suala muda tu, maana kalibia wote ni wezi na majambazi wa mchana kweupe.
 
Tupe idadi ya hao wanainchi, maana tulioko hapa tunduma, habari ya mjini ni simba. A. K. A silinde, sasa wewe unatuletea propaganda zenu ufipani, halafu unaisemea tunduma?

Mwakajoka wenu hana chake hapa
 
Kwa sasa hakuna eneo ambalo wanachama na viongozi wa CHADEMA wanakamatwa kama kuku kama wanavyokamatwa wanachadema wa Tunduma, Kwa jinsi polisi inavyotumwa na CCM ndivyo inavyotekeleza bila hata kuchuja...
Maombi hayo yanaweza kuondoka na mtu na wananchi hao kwa umoja wao wanaonekana wanakitu wanakihitaji kutoka kwa Mungu , japo mbogamboga wanajiona Kama wanapendwa
 
Mungu Wetu Ni Wa Upendo.....
Kesho Yetu Hatuijui....

Ni Majuzi Tu Tulikuwa na Turky Pale Zenji Katika Uzinduzi Wa Kampeni Wa Mh.Mwinyi,Leo He is No More.....

Banner Yake ya Jimbo La Mpendae Iliandikwa "Yajayo Yanafurahisha"......

Jim Reeves Once Sang"ooh Lord I have no friend like you,and the world is not my home..."

#Uzalendo Ni Ubinaadamu
 
Tupe idadi ya hao wanainchi, maana tulioko hapa tunduma, habari ya mjini ni simba. A. K. A silinde, sasa wewe unatuletea propaganda zenu ufipani, halafu unaisemea tunduma?

Mwakajoka wenu hana chake hapa
Silinde kushinda Tunduma ni ndoto, mwambie akajaribu sehemu nyingine, itabidi muibe kura nyingi sana.
 
Hayo wanayoomba Hapo Ni ya kifarisayo wanaomba ili waonekane na watu kuwa wanaomba
Wanamwoomba Mungu wao ili mwovu shetani awaachie watu wao mana nguvu ya shetani imekua kubwa sana juu ya maisha yao!!na imani yao ni kuwa Mungu baba wa mbinguni atawajibu maombi yao maana imeandikwa hashindwi Jambo kwa yeye amtegemeae!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom