VIDEO: Rich Mavoko(KokoroMaster) alivyotikisa kwenye After Skul Bash

Can't wait..

Nitakupa Zawadi kukuimbia 'Aje' with acoustic guitar.. Ntakuimbia kile kipande cha kifaransa unachokipendaga..
".. viens mon amour, je suis quelque dubie, je vais veille sur moi, c'est toi mal joie, je ne peux etre content sans toi, je vais veille sur toi.... basi mwambie aaajee, ajeeee.."

Hahahahah! You will love it hny
Naona unazidi kumvuta mtoto mzuri Nifah usafini, tuanze kumuita wifi? Nataka go ahead
 
Wanaume wa dar bwana
Hii kitu ya 'Wanaume wa dar' ina mahala pake kama vile habari za Panya road, watoto wa Mbwa, scorpion n.k. Ila kwenye habari kama hizi ukiingizia hiyo mambo unakua kama umejificha nyuma ya pazia la chuki kwa kigezo cha uanaume wa Dar. Hilo shangwe hata angekuwa huku kwetu Katavi angelipata.
 
Back
Top Bottom