Video: RC Makonda aimbwa tena.

Video: RC Makonda aimbwa tena.

In the history of TAMISEMI hakuna RC aliyewahi kuchukiwa hivi ukiondoa Dr. Kleruu wa Iringa aliyekuwa enabler wa Nyerere ambae wakati huo alikuwa analazimisha business plan za kilimo ambazo alizi admire akiwa China.

Nadhani somo kwa viongozi wetu especially wasaidizi wa Rais ni kwamba ukibebwa na Rais wakati wananchi hawakukubaki utapata shida kubwa.

Mwisho wa siku namlaumu JPM, yeye ndie amemjengea chuki Makonda. Amemruhusu kufanya vitu ambavyo wengine wanakatazwa kwa fimbo ya kufukuzwa kazi hapo hapo!

Watu wote wamepigwa marufuku kwenda nje halafu wewe unarusha picha za kibishoo kwenye subways trains za Manhattan enjoying yourself together with sharobaro diasporans who have no clue nyumbani Tanzania nini kinaendelea. Kwa nini wewe una ubia gani na Rais? Kwa nini usimaindiwe?

Nape, Mwigulu, Kinana, January, Makongoro, Mkapa, Kikwete, Dr. Slaa, wote waliozima lile revolution movement la Lowassa na kumuweka huyu Rais wametulia na kujiheshimu, wewe Makonda ni exceptional, we nani, umeifanyia nini nchi hii?
 
Ni heri kuish siku tatu ukiwa jasiri kama SIMBA kuliko kuish mika mia ukiwa mnafiki Kama Fisi jamaa anadharaulika mno na anaendelea kumchafua bosi wake
 
Barnaba kimbia, hili jumba bovu hili.
 
paulmakonda-1488168334763.jpg

paulmakonda-1492026989798.jpg

paulmakonda-1491502276550.jpg


Hapa kazi tu

Makonda oyeeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom