Video: Rais Samia watendaji wako hawataki fuata utaratibu halafu mtakuja kamata watu kuwapa kesi za uhujumu uchumi

Aisee!! au kuna Mtu kafufuka na Sketi?.
cosbyhmm.png
 
I see...kazi ipo! Kwahiyo Afisa Manunuzi hahusiki tena na manunuzi yote ya ujenzi kwa mwezi mzima? Vipi kuhusu kufuatwa kwa sheria na taratibu za manunuzi? Wakaguzi wajiandae kuona mambo hapo. Suluhisho ni kurekebisha sheria na kanuni za manunuzi kama zinakwamisha au kukwaza kasi ya utekelezaji wa miradi. Si kuadhibu wasimamizi wa sheria na kanuni halali zilizopo kwasasa.
 
Huyu mama kakurupuka...ujenzi wa serikali sio sawa na mtu binafsi...lazma ufuate utaratibu na viwango, tofali za serikali zinakuwa na ratio tofaut, vifaa karibu vyote
 
Back
Top Bottom