Video: Rais Samia azungumza kwa njia ya simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya Simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mhe. Antony Blinken eo tarehe 06 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dodoma.

Ambapo kwenye mazungumzo yao Waziri huyo amemhakikishia Mhe. Rais Samia kuwa Serikali ya Marekani itaendelea kukuza ushirikiano na Serikali ya Tanzania katika Nyanja mbalimbali za maendeleo.

View attachment 1843702
Hapo Mbowe atanuna hata kula hata kula leo
 
Yes…yes…okay…yes…okay 🤣🤣

Hivi huyu Rais anaweza kweli kwenda pale Davos na kukaa jukwaani na kukata ishuz na akina Tony Blair na Mike Pompeo?

Thubutu!!
Wamarekani wenyewe wanajiona inferior kwa waingereza kwenye kupiga ung'en'ge, ni sawasawa na mkenya aongee kiswahili......British accent hoyeeeeee!
 
Hii tabia ya kumrekodi Rais halafu kila linalozungumzwa linawekwa hadharani naona ni ushamba, ningependa ofisa habari wa ikulu atoe taarifa ya maandishi baada ya mazungumzo kufanyika aseme walichokiongea na makubaliano waliyofikia, hilo kwangu linatosha.
Na kwa bahati mbaya anarecodiwa akiwa anatikia tu kiasi nikahisi uenda ata mikata ya ajabu inayosaini wakiletewa wao wanaitikia tu ok mmmmhh
 
Yes…yes…okay…yes…okay

Hivi huyu Rais anaweza kweli kwenda pale Davos na kukaa jukwaani na kukata ishuz na akina Tony Blair na Mike Pompeo?

Thubutu!!
Ata mikataba ya ajabu wanasaini kwa staili hiyohiyo maana wakiletewa wao wanaitikia tu okeeeeeeyy
 
Yes…yes…okay…yes…okay 🤣🤣

Hivi huyu Rais anaweza kweli kwenda pale Davos na kukaa jukwaani na kukata ishuz na akina Tony Blair na Mike Pompeo?

Thubutu!!
Mchato hata akina museven alikuwa anawanyari kutema nao yai.
 
Wamarekani wenyewe wanajiona inferior kwa waingereza kwenye kupiga ung'en'ge, ni sawasawa na mkenya aongee kiswahili......British accent hoyeeeeee!
Yeah right! You don’t know what you talking about!🤦🏾‍♂️

They know them as “Geicos”
 
sijaona bado faida ya hii mambo...kwani wangeongea tu wenyewe na sisi tukaona tu matokeo ya walichoongea kuna shida gani...? hizi ni issues ndogo sana kuliko matatizo ya nchi hii...
 
BEBERUS Oyeeee!!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya Simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mhe. Antony Blinken eo tarehe 06 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dodoma.

Ambapo kwenye mazungumzo yao Waziri huyo amemhakikishia Mhe. Rais Samia kuwa Serikali ya Marekani itaendelea kukuza ushirikiano na Serikali ya Tanzania katika Nyanja mbalimbali za maendeleo.

View attachment 1843702
 
Kwa cm na waziri?!
Kwn kwa yeye kuongea na biden mwenyewe direct shida ilikua gani?
Marekani hiyo ni ngumu, hii chance walikuwa nayo kina Mobutu tu. Viongozi wengine wote mpaka sasa hawana direct access na rais wa marekani.ni wachache mnooo
Mobutu aliagiza hadi balozi wa Zaire huko Marekani awe na direct access na Rais wa Marekani na ikakubalika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom