Video: Rais Samia azungumza kwa njia ya simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken

Hivi na huko Marekani napo wameripoti hii habari?
I had a productive conversation with Tanzanian President Hassan today. Our partnership is strong and enduring, and together we are working to ensure a peaceful, prosperous future for all Tanzanians – this includes our continued cooperation to fight the COVID-19 pandemic.
 
Yes…yes…okay…yes…okay

Hivi huyu Rais anaweza kweli kwenda pale Davos na kukaa jukwaani na kukata ishuz na akina Tony Blair na Mike Pompeo?

Thubutu!!
Kama wanachoongea kina manufaa kwa wananchi wake kwanini aende na majibu mfukoni ya kukataa?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya Simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mhe. Antony Blinken eo tarehe 06 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dodoma.

Ambapo kwenye mazungumzo yao Waziri huyo amemhakikishia Mhe. Rais Samia kuwa Serikali ya Marekani itaendelea kukuza ushirikiano na Serikali ya Tanzania katika Nyanja mbalimbali za maendeleo.

View attachment 1843702
Tunafungua nchi tunataka pesa za MCC Tril 1 TZS zije boost economy iliyiharibiwa na mwendazake.....amevuruga uchumi kabisa acha aendetu hana manufaa
 
Dalili za sera safi ya kidiplomasia kujongeana inazidi kujitokeza awama ya sita badala ya kukimbiana kama wakati wa mwendazake huku wakiwaita wadau wa maendeleo kuwa ni wezi, mabeberu, mamluki wa ubepari n.k
Umeandika nini Sasa.

Kwamba hukumbuki JPM akiongea na Maraisi wa China, Ujerumani na Urusi?

Tena huyo ni waziri tu.
 
Why not Biden himself ambao wako rank moja??
Mama ajitambui ni dharau iliyo wazi kabisa kujipendekeza kama mzee wa msoga.
Ni dhahiri kabisa hawana taim nae.
 
Why not Biden himself ambao wako rank moja??
Hapo bado warm-up kabla ya kumweka Kona nanna ya kutuchapa na kina Richmond na sanitaizaz baada ya kugundua wanyonge washashtukia ze netiz aka vyamdarua Kwa msaada ya watu wa marekani. Mama tunamkimbusha kuwa nao wanazo shida zao tena zinaweza kuwa zinatuzidi hata kama ni Kwa namna tofauti.
 
Back
Top Bottom