Video: Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa akinaswa kibao na mwananchi

Familia ya Kayafa pamoja na wapendwa wake kayafa wanatoa shukrani zao za dhati kabisa kwa wote wenye kuendelea kumkumbuka mpendwa wao Kayafa na kufanya kutokusahaulika, wanawaomba muendelee na moyo huo huo bila kuchoka.

Kama yule kijana aliyempiga kibao Rais mstaafu Mzee Mwinyi aliwekwa ndani hadi akawa anaomba msamaha, sasa najiuliza kama ikitokea sasa mtu akampiga kibao Rais wetu Mama Samia ataachiwa tu au vp?
 
Sisi huku ndio tunashangaa mambo kama haya kwa sababu tunachukulia kwamba tunatawaliwa na miungu watu badala ya wanadamu wenye kufanya makosa.
 
Nakumbuka Mwinyi akiwa kishastaafu alichezea kibao pale Diamond Jubilee... na akamsamehe yule jamaa

Laiti ingekuwa mwendakuzimu... hakyamama pangechimbika! Jamaa angepotea kama Azory Gwanda au Ben Saanane
Jamaa aliyemshika miguu Mstaafu Asiyestaafu pale Kirumba jukwaani yupo hai?
 
Back
Top Bottom