Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,722
- 29,084
Mzuka wanajamvi!
Shirika la kijasusi la Ufaransa (DGSE) sawa ama kama CIA ya marekani, MI6 Uingereza, Mosad Israel, Inter- Services Intelligence (ISI) Pakistan na our Beloved TISS yetu.
Limemjibu Macron aliyewalalamikia kwa kushindwa kutabiri (predict) mapinduzi ya kijeshi yaliotokea Niger mwishoni mwa mwezi uliopita. Na kupelekea kupinduliwa kwa rais Mohamed Bazoum.
Macron rais wa ufaransa alililaumu shirika hilo la kijasusi kwa kutoweza kuangalia chochote kingetokea kabla ya mapinduzi.
Bernard Émié DG wa TISS ya ufaransa alishaonya na kutahadharisha toka mwanzoni wa mwaka huu Macron achukue hatua ya kutuma vikosi maalumu vya ufaransa vimlinde rais Banzoum aliyepinduliwa. Lakini macron akutekeleza kwa kuofoa ufaransa italaumiwa kwa kuwa wakoloni.
Bernard Émié alizidi kueleza hata kabla masaa machache ya mapinduzi alitahadharisha tena mapinduzi yatatokea inabidi ufaransa itume special forces zimlinde rais wa Niger Macron akataa.
Ila inafahamila Macron na huyu DG Bernard hazipandi toka Macron aliposhinda kipindi chake cha pili cha urais. Sababu kubwa DG alitarajia kabisa kuteuliwa kuwa waziri wa mambo ya nje badala yake akapewa cheo cha ukuu wa usalama Ufaransa.
Badala yake macron akamteua mwana mama Catherine Colonna. Luwa waziri wa mambo ya nje Ufaransa.
Wizara ya Mambo ya nje Ufaransa pamoja na wizara ya ulinzi imekanusha madai haya ya Bernard Émié kuwa alitahadharisha na kushauri kuhusu haya mapinduzi.
Bernard Émié ni kachero mbobezi na mwana diplomasia mzoefu anayeheshimika sana ufaransa. Ni Kama Somo wake Bernard Membe wetu Mungu amrehemu.
Katiba ya Ufaransa inampa nguvu Rais kuteua na kumfukuza kazi mkuu wa usalama wa taifa. Duru za chini chini za siasa ufaransa zinatabiri kibarua cha Bernard Émié kitaota nyasi hivi karibuni.
Senior JF local and international correspondent and political analyst