kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
Wakuu nimeiangalia hii video na kujiuliza maswali mengi sana juu ya viongozi wa USA kwani katika maeneo yote waliyoshambulia na kuhusika na mauaji ya Viongozi wa nchi hizo pamoja na familia zao (watoto wa kiume)yaani Iraq na Libya hapo awali hao viongozi waliouliwa walikuwa ni marafiki na USA.
Last edited by a moderator: