Uchaguzi 2020 Video: Nabii Shilla akiwa kwenye harakati za kikamanda za kutafuta wadhamini huko Kilombero

You are out of context, hivyo sina muda wa kujibu non- contextual issues unazo taka kuziibua, HALAFU jaribu kuleta HOJA siyo VIHOJA NA VIOJA!
Najua kuwa huwezi kujibu ndio maana nikakupeleka huko makusudi,CCM bila Rushwa isingefika hapa ilipo.
 
Ila hapa hakuna mwanasiasa but why Chadema hajifunzi tu, hichi kitoto kitapeli mwanzo mwisho ila leo mmeshaanza kukipamba. Siasa ni ujinga tu kila mtu apambane kivyake
Kama wananchi wanakubaliana na matapeli wa CCM, acha tu na Chadema nao waweke matapeli, si ndio hao mnawataka?
 
Ila hapa hakuna mwanasiasa but why Chadema hajifunzi tu, hichi kitoto kitapeli mwanzo mwisho ila leo mmeshaanza kukipamba. Siasa ni ujinga tu kila mtu apambane kivyake
Kumikutapeli nini? Kama huna cha kuzungumza uwe unakaa kimya, lete ushahidi.
 
Ila hapa hakuna mwanasiasa but why Chadema hajifunzi tu, hichi kitoto kitapeli mwanzo mwisho ila leo mmeshaanza kukipamba. Siasa ni ujinga tu kila mtu apambane kivyake
Mtu akiwa ana mafanikio tu basi ni tapeli, kwanini na wewe usitapeli basi uwe tajiri? Umasikini ni mzigo kweli kweli kama wewe huzipati shilingi wengine wanazipata
 
Nakuheshimu sana ila ukitaka nikuvunjie heshima nitafanya hivyo jifunze kuheshimu mawazo ya wengine
Sijawahi kuogopa kutukanwa wala kuvunjiwa heshima , nifuatilie vizuri , ila kwa kuuliza tu kwamba alitapeli nini nimekosea wapi kiasi cha wewe kujiapiza kuvunja heshima ? yaani kosa langu ni kuuliza kwamba ametapeli nini ?

au umeniquote kwa bahati mbaya ?
 
Nimeshakwambia huyu ni tapeli wewe elewa hivyo maana hata nilikuambia anayofanya utaomba ushahidi, ina maana na uzoefu wako wote katika siasa unaona Shillah anafaa kabisa kuwa Mbunge na ujinga wote huu anaoufanya kutafuta umaarufu kwa nguvu.
 
Huyo ni mtia nia njoo na mgombea wako mlete uchafu wa Shilla kwenye vikao ajadiliwe , vinginevyo hizi zitakuwa porojo tu
 
Huu uchaguzi unaweza kuwa ndio uchaguzi mgumu mno kwa CCM , mipango na mikakati ya CHADEMA ni mikubwa mno!

View attachment 1501635

Kila Mmoja Ana haki ya KUCHAGUA NA KUCHAGULIWA.....

Ila tukumbushane tu ambayo kina NASSARI,LIJUALIKALI na wengine wengi tuliowapokea CCM hawakuyajua HUKO NYUMA....

NI YEPI HAYO?!!!

Pale Bungeni kunaongozwa na KANUNI.......
Pale Bungeni kunaongozwa na taratibu.......
Pale Bungeni Kuna MILA NA ADA ZILIZOZOELEKA zinasosimamiwa na SPIKA,NAIBU SPIKA NA WENYEVITI WA BUNGE......

Kwa nini NIMETOMBOKA hivyo?!!!!

Wanaojiita wanaharakati wa KISIASA na VOCAL kupita "ADA" bila HOJA TUNDUIZI Mara nyingi Sana hebu nawe chunguza km hutowaona wakitolewa NJE YA BUNGE BAADA YA KUZIVUNJA TARATIBU?!!
HEBU CHUNGUZA KM hawapigwi ban?!!!
Kubwa zaidi hebu chunguza km hutaona KELELE ZAO NA MAHOKA YASIYOELEWEKA yanapungua polepole KILA MUDA UKISONGA.......

Sababu ni kuwa taratibu wanaanza KUJIFUNZA USTAARABU NA SIASA TULIVU NGUVU ZA HOJA.

Eeee Mwenyezi Mungu mjalie afya mh.Job Ndugai ashinde tena pale Kongwa halafu ashinde tena USPIKA aaaamin aaaamin,Mana huyu baba KAKIENEA VYEMA KILE KITI.

Tafakari Ukiwa Sober......
Tafakari baada ya kuiweka pembeni hiyo chupa yako ya FARU JOHN ile hatimiliki ya mh.mwenyekiti....
 
Ila hapa hakuna mwanasiasa but why Chadema hajifunzi tu
Tatizo kubwa sana la CHADEMA kama chama kwa ujumla wake wanapenda sana kuishuari serikali na ushauri wao ukikataliwa na serikali watapiga kelele kuanzia mwenyekiti mpaka mwanachama wao wa mwisho chini kabisa. Ila wao ukiwashauri badala aidha waukubali shauri wako au waukatae matokeo yake utakoga matusi ya kila aina. Hawapendi kabisa kuambiwa ukweli sijui nani kawaloga.

Ki ukweli Vetting ya Chadema aliondoka nayo Dr. Slaa. Nilikuwa naiona CHADEMA kama taasisi kubwa sana kwa miaka takribani 10 iliyopita lakini nimekuja kugundua tofauti kabisa na ninavyozani baada ya kuwaona wanavyomshangilia huyu jamaa mitandaoni. Nilitegemea mpaka sasa kuwa CHADEMA iwe imeshaandaa kizazi kingine makini cha kuwasaidia wakina Halima Mdee, Mnyika, Heche, n.k. Kwenye uchaguzi wa mwaka huu wakiendelea kuokotaokota kama walivyoanza sasa wajiandae na anguko kubwa sana litakalotokana na wagombea wao wengi kujitoa dakika za mwishoni na kuwaacha wapinzani wao kupita bila kupingwa. Mwenye masikio na asikie na mwenye macho aone.
 
endelea kuunga mkono Chadema ni chama makini sana , Dr Slaa uliyemuabudu alinunuliwa na kuhongwa ubalozi , na hivi tunavyoongea yuko chama kimoja na Sumaye na Lowassa aliodai kuwakimbia Chadema
 
Back
Top Bottom