Video: Msukuma Kasheku akipiga nyungu

Mimi simshangai kabisa Msukuma nawashangaa hao wenye maPhd.
 
Civilization ni jambo muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu!!
Taifa linapokuwa na watu wengi uncivilized hadi members of parliament aisee taifa hilo lazima liendekeze ushirikiana kama huu.
 
Sasa hiyo dawa ya kujifukiza ni kinga au inatumika pale mgonjwa anapougua? na inatibu ugonjwa gani Kati ya changamoto ya kupumua au nimonia kali?

Je inaweza kutibu covid19 pindi itakapoingia Nchini Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…