Video: Msukuma Kasheku akipiga nyungu

Sayansi imedharauliwa sn kwenye utawala huu watu wanawaza kumfurahisha dikteta maisha yaendelee
Kwa sasa kila mtu anatazama kesho yake.
Wanatazama kama ugali utaendelea kupatikana.

Hakuna cha kumtumikia mlala hoiiii tena ndiyo maana wanacheza ngoma ya mteule wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…