Video: Msichana wa kazi akimfanyia ukatili mtoto, inauma sana!

Ni kweli kabisa tuwe makini na wasichana wa kazi. Kwa kuwalipa vizuri na kuwajali.

Kuhusu Video hiyo: NI FAKE. SIO KWELI HILO NI IGIZO TU. PICHA ZINONESHA KUNA MUUNGANISHAJI WA PICHA NYINGI ILIWAMO YA HILO CATOON KAMA MTOTO.

Lakini sio mbaya igizo hilo limeeleweka na linafunzo.
Kheee mim bovu lilishanitoka et!!
 
SIO KWELI....haiwezekani kuwe na mtu pembeni anaepiga picha ya tukio baya kama hilo...
 
Ishini na mahousegirls vizuri. Ukatili huu wengine mnajitakia.
 
Yaani huyu ukimfuma live tayari unajikuta umefunguliwa kesi ya mauaji. Ni vigumu kumwacha salama huyu.
 
Wakati anamfanyia huo ukatili alijitegeshea kamera au kuna mtu alikuwa akichukua hilo tukio?
Ukiangalia hivyo video utaona ilikuwa inacheza kwa maana mtu alikuwa anachukua. ingekuwa ni kamera ya kutegeshwa kusingekuwa kuna kushake kwa picha. Na hisi ni igizo tu hili sasa lakini linaelimisha na hicho anachopiga ni mdori lakini kuna sauti ya mtoto iliyokwisha kurekodiwa
 
Back
Top Bottom