Kinachonishangaza ni kwamba badala ya kuijadili video mnajadili team za watu.Utagundua karibu wote wanaoisema vibaya hii video ni wale waliojaa kwenye ile timu ya kule na kwa upande wanaoisifia kupitiliza utagundua ni wa timu ile nyingine.
Jadilini video sio team