Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,369
- 35,801
Ya kwako hatujawahi kuyasikiaUtandawazi. Kila kitu tunataka ulimwengu ujue.
😂 Mie sina matukio.Ya kwako hatujawahi kuyasikia
Unaweza kushangaa walimu hata mil 1 hwafiki kwa mwezi ila wanajenga ila hao wazee wanakuwa watu wamatanuzi mwishoni uzeeni wanakufa kwa stressSerikalin wanapata hela za bure
1. sitting,
2. outfit,
3. relocation,
4. hardship,
5. education,
6. on-transit allowances
7. Per diems.
Ila wengi hawajengi wala kuwekeza. Zaidi ya starehe (pombe na nyap).