Video: Misikiti na majengo yatiwa kiberiti Iran

Video: Misikiti na majengo yatiwa kiberiti Iran

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,476
Reaction score
53,335
Raia wa Iran wamamua liwalo na liwe, hawataki kuongozwa na dini ya muarabu.... Wanataka uhuru.
Kawaida Waajemi, yaani Persians huwa watu wenye akili sana, ukisoma historia yao kabla dini ya muarabu walikua wanafanya mengi makubwa, ile dini imewadumaza sana.

============

Watch: Buildings in Tehran set on fire as demonstrations spread across Iran

Footage verified by BBC Persian shows buildings on fire in the Iranian capital, Tehran, as anti-government protests spread across the country.

Video from the the 12th consecutive day of national unrest shows mosques in the Gholhak and Sa'adat Abad neighbourhoods of Tehran on fire.

Frustration over the collapse of Iran's currency has triggered demonstrations in more than 100 cities and towns across all 31 of Iran's provinces, according to human rights groups.
 
Kuna watu wanasema wazungu wamewaacha waislamu wakaingia ulaya wanafanya makosa makubwa, kumbe wenzetu wako miaka mia mbele kwenye kuwaza. Kinachofanyika ni kuwaonesha waislam how the world behaves na muda siyo mrefu uislamu utaingia kwenye phace ya tatu ya kugawanyika kitu ambacho ukristu ulikipitia miaka miatano nyuma na ndio maana hakuna tena crusade wars.
 
Binafsi nauchukia sana uislamu,yaani hawa watu wangezingatia elimu dunia wangekuwa mbali sana.

Walitaka kunitoa roho eti kisa nimevaa kanzu na kikofia cha duara ilikuwa mfungo wa Ramadan,sasa nikawa nakula kumbe eti ni kosa nautukanisha uislamu.

Dini ya kijinga sana hii,ni Bora uwe mpagani mara 1000 kuliko kuwa muislamu
 
Dini hatakiwi kulazimishwa kwa mabavu. Mfundishe mtu kile ambacho wewe unaamini Mungu anataka. Mwachie uamuzi mtu mwenyewe, siyo unaanza kuua watu eti hawafuati maagizo ya Mungu, kwani umesikia Mungu anashindwa kumwadhibu.

Uislam unapofeli ni kuwa kuna baadhi ya waislam wameifanya ionekane ni dini ya kikatili dhidi ya wanaoonekana kutofuata wanayoyaamini. Kuna mafundisho ya hovyo sana. Eti mwanao akiuasi uislam, wewe mzazi umwue mwanao kwa mkono wako!! Eti uwakate shingo wasio waislam, na bado mtu anaamini kuwa hayo ni maagizo ya Mungu.

Vizazi hivi vinavyotaka kuhoji, kamwe havitakubaliana na mafundisho hayo, na hiyo itasababisha migongano ya ndani kwa ndani.

Ukristo unatumia hekima kubwa katika kumtumikia Mungu. Unahubiriwa, lakini uyapokee hayo mahubiri au ukiyakataa, ni juu yako. Mungu ndiye ataamua. Na mafundisho ya Yesu Kristo, nafsi pekee ya Mungu iliyotoka na kurudi kwa Mungu, alisema, usihukumu usije ukahukumiwa. Sasa waislam wanawahukumu watu mpaka vifo!! Kinyume kabisa na mafundisho ya Mungu.
 
Binafsi nauchukia sana uislamu,yaani hawa watu wangezingatia elimu dunia wangekuwa mbali sana.

Walitaka kunitoa roho eti kisa nimevaa kanzu na kikofia cha duara ilikuwa mfungo wa Ramadan,sasa nikawa nakula kumbe eti ni kosa nautukanisha uislamu.

Dini ya kijinga sana hii,ni Bora uwe mpagani mara 1000 kuliko kuwa muislamu

Upuzi sana tu, hebu ona jamaa anacharazwa viboko kwa kula mchana kipindi cha ramadhani, yaani mtu hauamini katika dini yao hiyo, hufuati hayo mavitu, unaishi maisha yako, Mwafrika mwenzako anakuja anakucharaza viboko kwa kula chakula chako mwenyewe eti kisa aliamurishwa na muarabu alazimishe watu.

View: https://www.youtube.com/watch?v=ilstHQLJghQ
 
Kuna watu wanasema wazungu wamewaacha waislamu wakaingia ulaya wanafanya makosa makubwa, kumbe wenzetu wako miaka mia mbele kwenye kuwaza. Kinachofanyika ni kuwaonesha waislam how the world behaves na muda siyo mrefu uislamu utaingia kwenye phace ya tatu ya kugawanyika kitu ambacho ukristu ulikipitia miaka miatano nyuma na ndio maana hakuna tena crusade wars.
Waislam waligawanyika miaka 16 baada ya kifo cha mtume
 
Attachments

  • IMG_20260108_002232_016.jpg
    IMG_20260108_002232_016.jpg
    52.1 KB · Views: 7
Kuna watu wanasema wazungu wamewaacha waislamu wakaingia ulaya wanafanya makosa makubwa, kumbe wenzetu wako miaka mia mbele kwenye kuwaza. Kinachofanyika ni kuwaonesha waislam how the world behaves na muda siyo mrefu uislamu utaingia kwenye phace ya tatu ya kugawanyika kitu ambacho ukristu ulikipitia miaka miatano nyuma na ndio maana hakuna tena crusade wars.
waislam wa humu ni wabishi ukiwaambia haya
 
Kwahiyo Muslims wabongo wanataka waishi Islamic State:
Kama Afghanistan na Iran wakati waarabu wameshachoka maisha ya kulazimishana waswali vipi, wale nini na nini wasile, wavae mavazi gani na kwa aina gani kama walivyoishi Wakureshi wa zamani:
Eti uso ni Uchi 🤣🤣🤣
Hayo maisha yamepitwa na wakati:
 
Back
Top Bottom