Ndio maana haitakaa iisheIla CCM ukiwakuta wanakemea rushwa utadhani Roho Mtakatifu kawashukia, hakuna malaika kama hao
Ila si waliripoti ili wakamatwe? Ccm hawataki rushwa.Ndio maana haitakaa iishe
"Kuanzia Uhuru?"Umasikini tulionao Leo hii Ni matokeo ya rushwa, ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka, vyote hivi vimeasisiwa na kulelewa na fisiem kuanzia Uhuru mpaka Leo hii!
Nikiona mtu kavaa kijani najisikia kutapika!
Aibu! Aibu! Aibu Hawa nguruwe!
PCCB wenyewe hawana menoMijadala yote hii inayohusu rushwa katika mchakato huu wa kuchuja wagombea inapoteza lengo kwa kuangalia upande mmoja tu wa sarafu na kutotilia mkazo upande wa pili.
Tatizo lipo kwa wajumbe; hao wawakilishi wa chama wanaokwenda kuwachuja watia nia.
Hawa ndio wanaotakiwa kutiwa msukosuko mpaka watapike nyongo.
Hawa ndio viongozi wa chama, kwa hiyo sura nzima ya chama wanaibeba wao.
Kama wanakuwa wapokea rushwa, chama chote ni uozo mtupu.
TAKUKURU wapambane na hawa, waachane kabisa na hao watoa vishawishi.
Kwa hiyo ni paka ambaye hata panya anaweza kumchezea tu bila ya madhara? Ni 'comedy' ya Magufuli, kama kawaida yake?PCCB wenyewe hawana meno