VIDEO: Marekani yafanya maonesho ya Kijeshi nchini Korea Kusini

Iko njema sana hii. Higly sophisticated war technology hadi raha. Kiduku na yale malori yake ya kirusi ya mwaka 47 kazi anayo. Kitu cha kwanza kabisa atakachofanyiwa NK; dakika chache kabla vita haijaanza rasmi ni kukatiwa na/au kuvurugiwa mawasiliano yote kama wajenzi wa mnara ule wa Babeli. Baada ya hapo ni kichapo cha mbwa mwizi. Mkiona kiwiliwili cha Kiduku kikining'inia pembezoni mwa barabara ni ishara vita imekwisha na tumwombe Mola hatua hii ifikiwe haraka dunia iendelee kuwa mahali salama kwa binadamu. Inshallah.

North Korea si mwepesi kihivyo kama unavyofikiri Mkuu na Wachambuzi wa Vita wa hizi za nchi zilizoendelea wanakuambia Marekani isijidanganye kuwa ikilianzisha kwa North Korea eti itakuwa inapambana nayo tu bali itakuwa inapambana na China na mwenzake Urusi hivyo inaweza ikawa ni hatari kwa Marekani kama nchi hasa ukizingatia kuwa hivi sasa Mshirika mkubwa na anayempa jeuri siku zote Marekani Mu Israeli amejiweka kando katika hili balaa hasa baada ya kauli ya Rais Trump ya kutoutambua mji Mkuu wa sasa wa Israel na akitaka kupeleka Ubalozi wake katika mji mwingine nchini Israeli ambao strategically umekaa vibaya hivyo kutawapa fursa Wapalestina na wale Maadui wa Israeli kuishambulia vizuri na pengine hata kulimaliza Taifa la Israeli.

Kutokana na hali mbaya ya Uchumi sasa duniani hata Washirika wa karibu wa Marekani akina Uingereza, Germany, Italy na France na wao hawawezi kumsaidia kwa sasa kutokana na kwamba hata wao pia huko nchini Kwao wana changamoto nyingi zinawakumba hivyo Marekani atajikuta anapambana mwenyewe na kuathirika sana Kiuchumi na Kisilaha kitu ambacho kitaidhoofisha sana Serikali hii ya Rais Donald Trump. Vita hii siyo rahisi / mchekea kwa Marekani na ndiyo maana hata yeye hajaingia moja kwa moja North Korea na badala yake ananusa nusa tu kama Mbwa wa Masikini huku hofu na uwoga ukimjaa.
 
Kitu cha kwanza kabisa atakachofanyiwa NK; dakika chache kabla vita haijaanza rasmi ni kukatiwa na/au kuvurugiwa mawasiliano yote kama wajenzi wa mnara ule wa Babeli.
mkuu,inaonesha unajua vizuri mikakati ya mmarekani kwenye huu msuguano?
 
North Korea si mwepesi kihivyo kama unavyofikiri Mkuu na Wachambuzi wa Vita wa hizi za nchi zilizoendelea wanakuambia Marekani isijidanganye kuwa ikilianzisha kwa North Korea eti itakuwa inapambana nayo tu bali itakuwa inapambana na China na mwenzake Urusi hivyo inaweza ikawa ni hatari kwa Marekani kama nchi hasa ukizingatia kuwa hivi sasa Mshirika mkubwa na anayempa jeuri siku zote Marekani Mu Israeli amejiweka kando katika hili balaa hasa baada ya kauli ya Rais Trump ya kutoutambua mji Mkuu wa sasa wa Israel na akitaka kupeleka Ubalozi wake katika mji mwingine nchini Israeli ambao strategically umekaa vibaya hivyo kutawapa fursa Wapalestina na wale Maadui wa Israeli kuishambulia vizuri na pengine hata kulimaliza Taifa la Israeli.

Kutokana na hali mbaya ya Uchumi sasa duniani hata Washirika wa karibu wa Marekani akina Uingereza, Germany, Italy na France na wao hawawezi kumsaidia kwa sasa kutokana na kwamba hata wao pia huko nchini Kwao wana changamoto nyingi zinawakumba hivyo Marekani atajikuta anapambana mwenyewe na kuathirika sana Kiuchumi na Kisilaha kitu ambacho kitaidhoofisha sana Serikali hii ya Rais Donald Trump. Vita hii siyo rahisi / mchekea kwa Marekani na ndiyo maana hata yeye hajaingia moja kwa moja North Korea na badala yake ananusa nusa tu kama Mbwa wa Masikini huku hofu na uwoga ukimjaa.
Kama wanajamvi hawatakuelewa kwa ufafanuzi ulioutoa, basi watakuwa na mtindio wa ubongo.
 
Huyo sijui trump ajipendekeze aone kilicho mtoa kanga manyoya siana jifanya Baba wa dunia kila kilicho kizuri cha kwake na vibaya vya wenzie north korea nao wanajua thamani ya nyukria,Trump aache maneno aweke vita aone
 
North Korea si mwepesi kihivyo kama unavyofikiri Mkuu na Wachambuzi wa Vita wa hizi za nchi zilizoendelea wanakuambia Marekani isijidanganye kuwa ikilianzisha kwa North Korea eti itakuwa inapambana nayo tu bali itakuwa

Vita hii siyo rahisi / mchekea kwa Marekani na ndiyo maana hata yeye hajaingia moja kwa moja North Korea na badala yake ananusa nusa tu kama Mbwa wa Masikini huku hofu na uwoga ukimjaa.

Well said mkuu, a pen will only drop to just a handful members who have ability to find a needle in haystack!!
 
North Korea si mwepesi kihivyo kama unavyofikiri Mkuu na Wachambuzi wa Vita wa hizi za nchi zilizoendelea wanakuambia Marekani isijidanganye kuwa ikilianzisha kwa North Korea eti itakuwa inapambana nayo tu bali itakuwa inapambana na China na mwenzake Urusi hivyo inaweza ikawa ni hatari kwa Marekani kama nchi hasa ukizingatia kuwa hivi sasa Mshirika mkubwa na anayempa jeuri siku zote Marekani Mu Israeli amejiweka kando katika hili balaa hasa baada ya kauli ya Rais Trump ya kutoutambua mji Mkuu wa sasa wa Israel na akitaka kupeleka Ubalozi wake katika mji mwingine nchini Israeli ambao strategically umekaa vibaya hivyo kutawapa fursa Wapalestina na wale Maadui wa Israeli kuishambulia vizuri na pengine hata kulimaliza Taifa la Israeli.

Kutokana na hali mbaya ya Uchumi sasa duniani hata Washirika wa karibu wa Marekani akina Uingereza, Germany, Italy na France na wao hawawezi kumsaidia kwa sasa kutokana na kwamba hata wao pia huko nchini Kwao wana changamoto nyingi zinawakumba hivyo Marekani atajikuta anapambana mwenyewe na kuathirika sana Kiuchumi na Kisilaha kitu ambacho kitaidhoofisha sana Serikali hii ya Rais Donald Trump. Vita hii siyo rahisi / mchekea kwa Marekani na ndiyo maana hata yeye hajaingia moja kwa moja North Korea na badala yake ananusa nusa tu kama Mbwa wa Masikini huku hofu na uwoga ukimjaa.
Pole kwa kujifariji pole sana
 
Iko njema sana hii. Higly sophisticated war technology hadi raha. Kiduku na yale malori yake ya kirusi ya mwaka 47 kazi anayo. Kitu cha kwanza kabisa atakachofanyiwa NK; dakika chache kabla vita haijaanza rasmi ni kukatiwa na/au kuvurugiwa mawasiliano yote kama wajenzi wa mnara ule wa Babeli. Baada ya hapo ni kichapo cha mbwa mwizi. Mkiona kiwiliwili cha Kiduku kikining'inia pembezoni mwa barabara ni ishara vita imekwisha na tumwombe Mola hatua hii ifikiwe haraka dunia iendelee kuwa mahali salama kwa binadamu. Inshallah.
Akili zako kama za mtoto Mdogo.. Unaekezea utafikiri unawahadithia watoto wako hadithi za musa na Neema...
Endeleeni kujidanganya
 
Back
Top Bottom