VIDEO: Marekani yafanya maonesho ya Kijeshi nchini Korea Kusini

LOSEJMASAI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
332
856
Maonyesho ya jeshi la Marekani na la Korea ya Kusini, kama onyo kwa adui yoyote wa Marekani au Korea ya Kusini

Attachments

  • Could tensions actually turn into a US-North... - CNN International.MP4
    13.5 MB · Views: 61
Iko njema sana hii. Higly sophisticated war technology hadi raha. Kiduku na yale malori yake ya kirusi ya mwaka 47 kazi anayo. Kitu cha kwanza kabisa atakachofanyiwa NK; dakika chache kabla vita haijaanza rasmi ni kukatiwa na/au kuvurugiwa mawasiliano yote kama wajenzi wa mnara ule wa Babeli. Baada ya hapo ni kichapo cha mbwa mwizi. Mkiona kiwiliwili cha Kiduku kikining'inia pembezoni mwa barabara ni ishara vita imekwisha na tumwombe Mola hatua hii ifikiwe haraka dunia iendelee kuwa mahali salama kwa binadamu. Inshallah.
 
Mkuu hyo video kwako imeonyesha?!
 
Inaoenesha vizuri sana kiongozi. Vijana wa kike na kiume wako tayari kwa kazi kulitumikia taifa lao na kuifanya dunia mahali salama.
Emb fanya bhas mkuu uidownload utuwekee hpa kwangu inagoma.
 
Iko njema sana hii. Higly sophisticated war technology hadi raha. Kiduku na yale malori yake ya kirusi ya mwaka 47 kazi anayo. Kitu cha kwanza kabisa atakachofanyiwa NK; dakika chache kabla vita haijaanza rasmi ni kukatiwa na/au kuvurugiwa mawasiliano yote kama wajenzi wa mnara ule wa Babeli. Baada ya hapo ni kichapo cha mbwa mwizi. Mkiona kiwiliwili cha Kiduku kikining'inia pembezoni mwa barabara ni ishara vita imekwisha na tumwombe Mola hatua hii ifikiwe haraka dunia iendelee kuwa mahali salama kwa binadamu. Inshallah.
Hamna mjinga kiasi hicho
 
inakataa cjui nn ttzo. Km vp naomba ntumie screenshot ya hyo page niitafute mwenyew huko fb
Fanya hvyo mkuu dudus

Screen shot hiyo hapo Mkuu. Kitu imetulia balaa.

US.JPG
 
mnyoa kiduku Kama ndo alikuwa anamjaribu trump sass atakiona lazima ashughulikiwe. trump amewaita ma sanates wote 100 kuwaambia jambo white house
 
Attachments

  • Could tensions actually turn into a US-North... - CNN International.MP4
    13.5 MB · Views: 33
  • Could tensions actually turn into a US-North... - CNN International.MP4
    13.5 MB · Views: 26
Iko njema sana hii. Higly sophisticated war technology hadi raha. Kiduku na yale malori yake ya kirusi ya mwaka 47 kazi anayo. Kitu cha kwanza kabisa atakachofanyiwa NK; dakika chache kabla vita haijaanza rasmi ni kukatiwa na/au kuvurugiwa mawasiliano yote kama wajenzi wa mnara ule wa Babeli. Baada ya hapo ni kichapo cha mbwa mwizi. Mkiona kiwiliwili cha Kiduku kikining'inia pembezoni mwa barabara ni ishara vita imekwisha na tumwombe Mola hatua hii ifikiwe haraka dunia iendelee kuwa mahali salama kwa binadamu. Inshallah.
nimeona kwenye presstv nimeona mrusi na yeye keshaweka zana zake n. korea kama back up, wacha tuone, manake wote wakitumia nuclear nchi zinazopakana na n. korea ndio watakaoathirika na wananchi wa korea ya kusini wameandamana kupinga kitendo cha marekani kupeleka silaha zao, masilaha mazito yale kwa kisiwa kile nimecheka utadhani jamaa alishaua wamarekani wanaenda kufanya revenge, kama unatizama presstv ya iran wanaonyesha kila kitu, hizi bbc, cnn zinaficha sana
 
Yote unayoyasema nimeyaona CNN na FOX had hayo maandamano. Saa nyingine acheni kuvionea na kuvisingizia vyombo vya magharibi.
 
Mbona pro mapank wanasema U.S. amesurrender?
hakuna vita pale, jamaa kapeleka jeshi akitegemea bunge litapitisha mpaka bunge likubali ndio vita vianze kwa vile marekani ana base south korea magari yake yatabaki huko, wewe unadhani trump ni kama kiongozi wetu kila kitu ni ubabe, usipofanya anakutumbua, bunge likiidhinisha vita vitaanza mara 1,
 
Ngoja nmpe kampany kim maana duh.
Techonology niliyonayo hata mmarekan hana, Awaulize akina kinjekitile enzi za mjeruman .
 
Back
Top Bottom