alumelunda
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 745
- 903
Nairudia rudia hata mara 255
Teknolojia yko haiizidi yetuNgoja nmpe kampany kim maana duh.
Techonology niliyonayo hata mmarekan hana, Awaulize akina kinjekitile enzi za mjeruman .
kisa cha kuirudia?!Nairudia rudia hata mara 255
Mkuu kwangu imkataa kabisaNairudia rudia hata mara 255
koti la mfalme lisoloonekana, tunashangilia tu! mkuu mtoa video rekebisha teknojia yakoMkuu kwangu imkataa kabisa
Sikia ingia fb andika CNN hlf ingia kwenye hyo page yao scroll down utaikuta hyo vdeoMkuu kwangu imkataa kabisa
Hahaha acha kutufanya wajinga waziri mkubwaTeknolojia yko haiizidi yetu
Pole, tena nimei-download kabisaMkuu kwangu imkataa kabisa
Ni kawaida hyo hilo km Onyo tu.Hivi wakati wanaenda Iraq. Walifanya maonyesho kama haya?
Haa ha ha anapigwaje kwa mfano?Hahahah nimegundua marekani anaweza kupigwa hii vita..
Kwani Kim ameanza Leo kurusha mabomu?Ni kawaida hyo hilo km Onyo tu.
Hata Japan ilionywa, Iraq, etc.
Hata Iraq ilianza ujeuri wa kuvuka mipaka mwaka 1991 lkn 2003 mambo yakawiva.Kwani Kim ameanza Leo kurusha mabomu?
Siku si nyingi.tutaisahau marekaniHata Iraq ilianza ujeuri wa kuvuka mipaka mwaka 1991 lkn 2003 mambo yakawiva.
George Bush pamoja na ubabe wake wote aliufyata, Obama hakujaribu hata kuleta propaganda, itakuwa huyu chizi?Iko njema sana hii. Higly sophisticated war technology hadi raha. Kiduku na yale malori yake ya kirusi ya mwaka 47 kazi anayo. Kitu cha kwanza kabisa atakachofanyiwa NK; dakika chache kabla vita haijaanza rasmi ni kukatiwa na/au kuvurugiwa mawasiliano yote kama wajenzi wa mnara ule wa Babeli. Baada ya hapo ni kichapo cha mbwa mwizi. Mkiona kiwiliwili cha Kiduku kikining'inia pembezoni mwa barabara ni ishara vita imekwisha na tumwombe Mola hatua hii ifikiwe haraka dunia iendelee kuwa mahali salama kwa binadamu. Inshallah.