Video - maisha ya yesu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video - maisha ya yesu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by uvivumwiko, Mar 24, 2010.

 1. u

  uvivumwiko Member

  #1
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  salaam ndugu wanajamii forums.
  Kipindi hiki cha pasaka video inayoonyesha maisha ya yesu ni muhimu sana kwa wakristo. Naomba msaada wa namna ya kuipata video ya namna hiyo.

  Natanguliza shukrani.
   
 2. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  google............
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,045
  Trophy Points: 280
  Kwa wamachinga zipo kibao
   
 4. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,056
  Likes Received: 3,416
  Trophy Points: 280

  Kweli mkuu wangu lakini inategemea anaishi maeneo gani yamkini yuko kijijini anataka kuwapa elimu wanakijiji wenzake.
   
Loading...