Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
Kenya wanauzidi hata USA kwa Demokrasia wacha kuwalinganisha na Tanzania. Sisi tulinganishe na Burundi au Rwanda au Somalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani labda nao wamechoka kutetea mfumo usiofaa kutetewa mkuu.Kumbuka kwamba kila lenye mwanzo lina mwisho.Wadau katika kuangalia angalia reactions za wananchi jirani zetu huko Kenya baada ya maamuzi ya jana kuwa uchaguzi urudiwe, nimekutana na video iliyoniacha wazi kwa Police wa kisumu kuwabeba raia kwenye gari lao na kushangilia.Kwa nchi zetu hapa Africa nadhani bado...
Nimeshangaa si kidogo
Kwetu hapa kazi unapoteza nadhaniNadhani labda nao wamechoka kutetea mfumo usiofaa kutetewa mkuu.Kumbuka kwamba kila lenye mwanzo lina mwisho.
Kwa hali ilivyo sasa, nadhani wana confidence kwamba hakuna wa kuwachukulia hatua,ndio maana wamediriki kuonyesha wazi what they believe in.Nadhani wanaamini pia kwamba NASA itachukua madaraka.Kwetu hapa kazi unapoteza nadhani
NASA hawawezi shinda na This time watafanyiwa figusi figusi za hatari sanaKwa hali ilivyo sasa, nadhani wana confidence kwamba hakuna wa kuwachukulia hatua,ndio maana wamediriki kuonyesha wazi what they believe in.Nadhani wanaamini pia kwamba NASA itachukua madaraka.
It's only a very stupid guy who will steal an election under the circumstances.Ila sikatai, it is possible.African leaders are extremely power hungry,it is as if they can't survive without being Presidents.NASA hawawezi shinda na This time watafanyiwa figusi figusi za hatari sana
Sent using Jamii Forums mobile app
It's only a very stupid guy who will steal an election under the circumstances.Ila sikatai, it is possible.African leaders are extremely power hungry,it is as if they can't survive without being Presidents.
Ndio maana nadhani katiba ya Kenya ilipaswa kwenda mbali zaidi.Kwamba Rais anayekuwa proven kwamba amefanya figisu figisu kwenye uchaguzi awe barred completely from participating in any election for life.Kiukweli Kenyatta na wengine wote walioingiza Kenya katika sintofahamu hiii walipaswa kuwa wameshakamatwa na kufunguliwa mashtaka.It's funny that he will participate in the forthcoming election.Bado katiba ya Kenya has a long way to go to be ideal for Kenya.
Barafu ni wewe??? au kuna mtu amehack akount yako??!!Umejuaje kuwa hilo ni gari la polisi??
Kwa nini??Barafu ni wewe??? au kuna mtu amehack akount yako??!!
Kuna barafu , na pia kuna huyu barafuyamoto , unaweza ukawa umewaconfuseBarafu ni wewe??? au kuna mtu amehack akount yako??!!
Lakini nadhani hapo ni ukabila umeplay part zaidi. Kisumu kwa wajaluo na hawana system kama ile yetu ya kupeleka askari wa makabila tofauti kwenye maeneo tofauti. Kuna uwezekano uongozi wote na vyombo vyote vya usalama huko ni wa kabila hilo. Na since wanapiga kura kiukabila, basi hilo ni jambo linalowaunganisha wote. Trust me, vyama ni kama miavuli tu ya alliances za makabila.Kenya wanauzidi hata USA kwa Demokrasia wacha kuwalinganisha na Tanzania. Sisi tulinganishe na Burundi au Rwanda au Somalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu kweli niliconfuse maana yule barafu huwa ana madini ya ukweliKuna barafu , na pia kuna huyu barafuyamoto , unaweza ukawa umewaconfuse
tulia wewee gamba lililokubuhu makinikia uchwara ebu nipe hapo buku mbili ubaki na buku tanoUmejuaje kuwa hilo ni gari la polisi??