Video : Maajabu Polisi Kenya jana kubeba Raia kushangilia Maamuzi ya Supreme Court kuhusu Uchaguzi!!!

Ta Muganyizi

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
5,290
2,000
Wadau katika kuangalia angalia reactions za wananchi jirani zetu huko Kenya baada ya maamuzi ya jana kuwa uchaguzi urudiwe, nimekutana na video iliyoniacha wazi kwa Police wa kisumu kuwabeba raia kwenye gari lao na kushangilia.Kwa nchi zetu hapa Africa nadhani bado...

Nimeshangaa si kidogo
 

areafiftyone

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
7,256
2,000
Wadau katika kuangalia angalia reactions za wananchi jirani zetu huko Kenya baada ya maamuzi ya jana kuwa uchaguzi urudiwe, nimekutana na video iliyoniacha wazi kwa Police wa kisumu kuwabeba raia kwenye gari lao na kushangilia.Kwa nchi zetu hapa Africa nadhani bado...

Nimeshangaa si kidogo
Nadhani labda nao wamechoka kutetea mfumo usiofaa kutetewa mkuu.Kumbuka kwamba kila lenye mwanzo lina mwisho.
 

Kilaga

JF-Expert Member
Feb 23, 2013
2,141
2,000
Hapo maana yake ni kwamba polisi nao walikuwa wanashangilia ndiyo maaña wakaungana na raia kushangilia. Hivi hiyo ingetokea hapa kwetu sura ya aliyetenguliwa ingeonekanaje? Angalia Uhuru Kenyatta alivyokuwa na alichosema. Ingekuwa Tz, amiri jeshi angetimiza uamiri jeshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

areafiftyone

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
7,256
2,000
Kwetu hapa kazi unapoteza nadhani
Kwa hali ilivyo sasa, nadhani wana confidence kwamba hakuna wa kuwachukulia hatua,ndio maana wamediriki kuonyesha wazi what they believe in.Nadhani wanaamini pia kwamba NASA itachukua madaraka.
 

areafiftyone

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
7,256
2,000
NASA hawawezi shinda na This time watafanyiwa figusi figusi za hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
It's only a very stupid guy who will steal an election under the circumstances.Ila sikatai, it is possible.African leaders are extremely power hungry,it is as if they can't survive without being Presidents.

Ndio maana nadhani katiba ya Kenya ilipaswa kwenda mbali zaidi.Kwamba Rais anayekuwa proven kwamba amefanya figisu figisu kwenye uchaguzi awe barred completely from participating in any election for life.

Kiukweli Kenyatta na wengine wote walioiingiza Kenya katika sintofahamu hiii walipaswa kuwa wameshakamatwa na kufunguliwa mashtaka.It's funny that he will participate in the forthcoming election.

Bado katiba ya Kenya has a long way to go before it can be ideal for Kenya.Hata hivyo ni mwanzo mzuri.
 

balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
4,810
2,000
It's only a very stupid guy who will steal an election under the circumstances.Ila sikatai, it is possible.African leaders are extremely power hungry,it is as if they can't survive without being Presidents.

Ndio maana nadhani katiba ya Kenya ilipaswa kwenda mbali zaidi.Kwamba Rais anayekuwa proven kwamba amefanya figisu figisu kwenye uchaguzi awe barred completely from participating in any election for life.Kiukweli Kenyatta na wengine wote walioingiza Kenya katika sintofahamu hiii walipaswa kuwa wameshakamatwa na kufunguliwa mashtaka.It's funny that he will participate in the forthcoming election.Bado katiba ya Kenya has a long way to go to be ideal for Kenya.
Bado tu katiba hiyo INA matundu loooh
Kama ni hivyo basi katiba ni endless process.

Sasa hii katiba ya bongo haitumiki tunanyooshwa kwanza
 

jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
22,314
2,000
Kenya wanauzidi hata USA kwa Demokrasia wacha kuwalinganisha na Tanzania. Sisi tulinganishe na Burundi au Rwanda au Somalia

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini nadhani hapo ni ukabila umeplay part zaidi. Kisumu kwa wajaluo na hawana system kama ile yetu ya kupeleka askari wa makabila tofauti kwenye maeneo tofauti. Kuna uwezekano uongozi wote na vyombo vyote vya usalama huko ni wa kabila hilo. Na since wanapiga kura kiukabila, basi hilo ni jambo linalowaunganisha wote. Trust me, vyama ni kama miavuli tu ya alliances za makabila.
 

Copenhagen DN

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
6,060
2,000
[QUOTE="barafuyamoto, post: 23191156, member: 23686]Kwa nini??[/QUOTE]tulia wewee gamba lililokubuhu makinikia uchwara ebu nipe hapo buku mbili ubaki na buku tano

Mbaffff
 
Top Bottom