Samahani sna mama yngu kwa Usumbufu naomba maoni khs ili...Kwanini Afrika hatupati kiongozi kama Duterte? Duterte aliamua kuua wote na anaua kweli...
Mfano mzuri Manji.Tanzania inafahamika kuna mateja. Swali, ni mateja wa heroine (unga) pekee? Au kuna kama haya ya Nairobi?
Inapaswa tufaham kuwa tatizo la jirani ni letu pia.
Mkuu,Mfano mzuri Manji.
Kwani Makonda alipewa hio defamation?Mkuu,
Angalia mambo mengine utajikuta na defamation lawsuit ya nguvu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mla madawa ya kulevya.Manji yupi? Kafanya nini?
Kwanini Afrika hatupati kiongozi kama Duterte? Duterte aliamua kuua wote na anaua kweli...
Samahani I thought you were referring to the drug addicts. Kama ni walanguzi basi they should be sentenced to life imprisonmentUnaona raha wauza madawa wanavyoua vijana kwa faida yao na hasara ya jamii?
Mid income wa nairoberry hao,zombieFaizaFoxy hii ni thread ya ishirini unafungua. Hujui kuna zingine kama hii humu?Bi.alsha babu
Hukumu za Mungu za kuua ni kuua. Damu kwa damu, jino kwa jino.Mungu anatufundisha tupendane, tuombeane mema, tusamehane, mtu akikosea mrekebishe muonyeshe njia sahihi, sasa tukianza kuuana kisa mapungufu ya kibinadamu si tutamalizana wote.
Kisasi ni juu ya Mungu sio mwanadamu, Mungu anatangaza amani. Amri za Mungu wa kweli hazina kisasi wala kulipiza mabaya.Hukumu za Mungu za kuua ni kuua. Damu kwa damu, jino kwa jino.