Wanasayansi wafufua virusi hatari vya "ZOMBIE"

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,664
4,875
Wanasayansi wamefanikiwa kufufua virusi vya 'Zombie' ambavyo vilikuwa vimelala kwa zaidi ya miaka 48,500 katika barafu.

Kuyeyuka kwa theluji katika eneo la Siberia nchini Urusi, kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, kunaweza kuwa tishio jipya kwa afya ya binadamu na wanyama, kulingana na wanasayansi ambao wamefufua Virusi hivyo vya 'Zombie'.

Watafiti wa Ulaya walichunguza sampuli za zamani zilizokusanywa kutoka kwenye barafu katika eneo la Siberia, baada ya kufufua na kubainisha vimelea vipya 13, walivyoviita "Virusi vya Zombie," na kugundua kuwa bado vina uwezo wa kuambukiza.

Kambi ya wiki mbili kwenye kingo za Mto Kolyma, wenye matope mengi, ya mtaalam wa Virusi, Jean-Michel Claverie imefichua ukweli juu ya virusi hivyo hatari ambavyo vimetokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani na kusababisha kuyeyuka theluji ambayo ilikuwa imeganda kwa milenia.

Claverie mwenye umri wa miaka 73, ametumia zaidi ya muongo mmoja akukisoma Kirusi hicho kikubw kilichoishi chini ya ardhi karibu miaka 50k vilivyopatikana ndani ya tabaka za Siberia.

Chanzo: Bloomberg
Zombie Viruses Are Waking Up After 50,000 Years as Planet Warms
 
WaTanganyika, nao, wamevumbua virusi vinavyosababisha uwepo wa mitafakuku ndani ya Vyama vya Siasa Nchini.
 
_20231011_195553.JPG
 
Wanasayansi wamefanikiwa kufufua virusi vya 'Zombie' ambavyo vilikuwa vimelala kwa zaidi ya miaka 48,500 katika barafu.

Kuyeyuka kwa theluji katika eneo la Siberia nchini Urusi, kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, kunaweza kuwa tishio jipya kwa afya ya binadamu na wanyama, kulingana na wanasayansi ambao wamefufua Virusi hivyo vya 'Zombie'.

Watafiti wa Ulaya walichunguza sampuli za zamani zilizokusanywa kutoka kwenye barafu katika eneo la Siberia, baada ya kufufua na kubainisha vimelea vipya 13, walivyoviita "Virusi vya Zombie," na kugundua kuwa bado vina uwezo wa kuambukiza.

Kambi ya wiki mbili kwenye kingo za Mto Kolyma, wenye matope mengi, ya mtaalam wa Virusi, Jean-Michel Claverie imefichua ukweli juu ya virusi hivyo hatari ambavyo vimetokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani na kusababisha kuyeyuka theluji ambayo ilikuwa imeganda kwa milenia.

Claverie mwenye umri wa miaka 73, ametumia zaidi ya muongo mmoja akukisoma Kirusi hicho kikubw kilichoishi chini ya ardhi karibu miaka 50k vilivyopatikana ndani ya tabaka za Siberia.

Chanzo: Bloomberg
Zombie Viruses Are Waking Up After 50,000 Years as Planet Warms
Naamini wametengeneza, hakukuwa na zombi duniani. Sema wameweka katika lugha ambayo hamtashtuka.
 
Back
Top Bottom