Hatari za hapo ndio uwa na mashaka na sie watu weusi khs wezo wetu wa kufikiri Africa karibu yote sehemu hizo zipo ukija uku South Africa ndio hatari zaidi...
Sijui na JF kuna content managers.
itafute kule ndo wanafugwa hadi minyororo.wanakunywa dawa za kikohozi wanachanganya na cocaSijaiona.
tizama kule sauzi afrikaAah ile ya mateja wa dawa za kifua? Nimeiona.
Inatisha na kusikitisha sana hususan pale wanapochomana damu.
Dah! What is the solution?