Video: Kova azungumzia sakata la Jerry Muro

Hiyo miwani na tissue ya wagwe ilikutwa upande gani wa gari?

With the way this matter has been handled, I don't think someone cared to work out on that. Afterall Hawa jamaa including na kamanda wao wanashika vidhibiti bila hata kuvaa gloves
 

Unayosema ni jinsi kamanda Suleimani Kova alivyosema au mahakama ilivyosema? Maana kutoa hukumu katika level hii naona siyo sahihi! Kwa nini tusisubiri ushahidi uonekane mahakamani ndipo tuseme 'kumbe na yeye alikuwa hivyo', ingawa kama ushahidi umepikwa dhidi ya mtu fulani na kama yeye hataweza kuwa na ushahidi kuushidna ataonekana katenda kosa hata kama siyo?
 

ha ha ha ha. Kova pleeeeez!! Another Muro is here. But on diplomatic cars there is what we call diplomatic and consular immunities. Their cars, apartments, persons are completely inviolable! Our officials experience the same abroad!
 
Hivi mmeuliza wale jamaa wawili walikamatwa kwa kosa gani na kuoneshwa mbele ya hadhara? Kama Muro kosa lake lilikuwa kukutwa na pingu, na wale wengine kosa lao lilikuwa ni nini? Isije kuwa kukaa mezani na mtuhumiwa likawa nikosa. Maana kama ni hivyo kuna wengi wanahitaji kutiwa pingu kwa kunywa chai na mafisadi na waporaji wa urithi wa watoto wetu.
 
Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka. Jerry atemewa mate na mzungu aliyemtemea mate trafiki, Jerry arekodi tukio la rushwa mkoani Iringa. Kila kitu hapa jamaa alichokuwa anakifanya sisi tulibaki kama washabiki na watazamaji na ngoma inaendelea hivyo hivyo hakuna ambaye anaweza ku-risk na kumrescue huyu kijana. Polisi sio watu wazuri na hakuna aliye mkamilifu sasa tukianza hizi sera za mwaga mboga mimi ugali hatutafika na ni kikwazo kikubwa cha maendeleo nchi hii. Mimi nasema Jerry kaza buti na kama noma na iwe noma.
 

inashangaza wale jamaa wawili hata kirahisi unaweza kugundua wanajikaza kuvumilia macho ya public ni watu wamepandikizwa, na kovas wanataka jamii ijue ni kweli Jeryy ana makosa, kwani kukaa na matapeli does it mean wewe ni tapeli? how kama wametumwa wakae nae na cctv ikarekodiwa? kama ni matapeli sugu wamejuaje leo tu after this case?wametapeli nini?pia kesi kubwa za rushwa kova why huwa hafanyi press conf kujulisha? who is jerry by then kama sio kumfix na kumtishia asiendele na kazi yake?
 


Kova alipandaje cheo? na ilikuwa wakati gani na mkuu wa jeshi la Polisi alikuwa nani? Je trend ya Kova inatofautiana na Zombe? otherwise discipline zao = same! just period!
 
Yeah..Kuna Mtu anaweza kuniambia Muro ni Kabila gani?Nimepata singles za Muro na Singles za Kamanda Kova
 
Ndugu zangu wanajamii, mi naumia sana kwa jinsi hii kesi watu wanavyoichukulia!
jana kuna mtu kaniambia eti Muro ni kweli si msafi na amechuku mara kibao mihela kutoka kwa yule jamaa Wage na eti hii haikuwa mara yake ya kwanza kuchukua.
kilichonishangaza zaid ni kwamba Muro tayar ameishakiri kuchukua rushwa na ameomba radhi kwa bos wake Muhando, jamma aliyekuwa ananisimulia akasema nisubiri mda si mrefu kila kitu kitakuwa wazi juu ya hili sakata la mpiganaji wetu wa rushwa.
je kuna yeyete ana hizi news atujuze?
 


You are absolutely right, la kuomba radhi kwa Mhando silijui, ila Jerry ni mla rushwa sana tu.

Na toka apewe tuzo amevimba kichwa sana kama yule wa Chadema. Hasikii ushauri wala nini anajiona yupo juu sana.
 
You are absolutely right, la kuomba radhi kwa Mhando silijui, ila Jerry ni mla rushwa sana tu.

Na toka apewe tuzo amevimba kichwa sana kama yule wa Chadema. Hasikii ushauri wala nini anajiona yupo juu sana.
ukimwangalia tu anavyoongea na kujitetea na anavyopepesa macho unajua tu kwamba hilo soo kalifanya na ndio zake hizo,anyway hilo analo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…