babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,118
- 16,028
imerekebishwa mkuuMimi naona kitu kama kilivyo hapo juu. Kulikoni?
Temea mate chini, police watanzania wanabambikiza vijana wetu baghi kila siku mitaani sembuse bastola na pingu, weeh acha bana.haya sheshe ndo hilo,na jamaa kakutwa na pingu na bastola risiti hana,watu wengine unawaona kama watiifu kumbe ni majambazi na waporaji,sasa hii unaweza sema polisi walimbambikia lakini inaonekana jamaa nae kabugi mahali,naona polisi wameamua tu kumshtua kama anajisahau kama na yéye mchafu vilevile.
Najua kuhusu hilo lakini sikiliza maelezo kova aliyotoa hivyo vitu kakutwa navyo na kakiri ni vyake,sio kilakitu unangangania polisi kubambikia sikiliza tena kova anasema nini sio unakurupuka tu.na maelezo ya jamaa alieombwa rushwa nikwamba Jerry alimtisha na bastola na pingu.Temea mate chini, police watanzania wanabambikiza vijana wetu baghi kila siku mitaani sembuse bastola na pingu, weeh acha bana.
Kaulizie kule Moshi walimfanya nini Imrani KOMBE....ACHA KABISA
pole, kwani asemacho polisi ni mwisho wa utetezi, ama ni sahihi.najua kuhusu hilo lakini sikiliza maelezo kova aliyotoa hivyo vitu kakutwa navyo na kakiri ni vyake,sio kilakitu unangangania polisi kubambikia sikiliza tena kova anasema nini sio unakurupuka tu.na maelezo ya jamaa alieombwa rushwa nikwamba jerry alimtisha na bastola na pingu,jerry mwandishi wa habari pingu na bastola vyanini,pingu haziuzwi popote bongo bastola sawa waweza sema ulinzi wake haya risiti hana na imekutwa loaded.
umefikiri kwa kina mkuu , respect kwako. kweli ukamatwe na bastola imejaa risasi na pingu....wakuache kwa dhamana , bila kulala ndani.Hivi jamani......kweli inakujia akilini mtu amakutwa na bastola iko full hana risiti alafu akaachiwa kweli kwa dhamana ya kujizamini mwenyewe???? labda hizo stori wapelekwe watoto wa chekechea hata mtua asie enda darasani hatawaelewa?????
bro jerry mtu mdogo sana kufananisha na kesi ya kombe,jerry ni mwandishi wa habari kijana tu,kwa ninavyoijua bongo mimi,sawa inaweza kuwa polisi walimbambikia lakini inaonekana hata yeye alishaingia kingi mil 10 za chapchap kijana yeyote ofisi yeyote bongo haziachi mzee,haya licha ya mambo ya rushwa vitu alivyokamatwa navyo ndio msala zaidi,na sidhani kama mtu anaweza kubambikiwa kisha kutishwa asitoe ukweli hasa kwa mwandishi wa habari,anyway story yote ni kizungumkuti tu,mi nataka na yeye atoe maelezo yake tusikie,lakini kaambiwa hatakiwi kusema chochote na kakubali,ndo mana nasema kuna mahali muro atakua kakosea na ndio maana kakaa kimya atherwise tungesikia mengine kabisa.pole, kwani asemacho polisi ni mwisho wa utetezi, ama ni sahihi.
sakata la kombe tuliambiwa na IGP kuwa alihisiwa jambazi...mmh jambazi lililoiba gari, ati polisi hawamjui mkurugenzi wa usalama.
Zombe na wenzake walituambia waliwauwa majambazi kule sinza kwenye mapambano, wakati jaji anawasubiri wauaji...polisi...Polisi hawaaminiki hata chembe, wauaji sana. wasingiziaji sana.
hili jambo ni nyeti sana, sasa naanza kupata picha kama huyu jamaa anamiliki pingu na bastola ambazo bila risiti (sasa sijui kama pingu ndiyo haina risiti au bastola au vyote hapo kova sijampata) huenda huyu jamaa... Basi niachie hapo mwenye akili atajua nataka kuongea nini?, maana hawa jamaa huwa hawajuani ati, sasa wakigongana na mlio ukatoka kwa nguvu watu wakausikia basi wanapiganapiagana hadharani kizushi then jiii!!!!!!!!. Hashtakiwi mtu hapo "quote" my post
hii imekaa vibaya, nona sasa jeshi la pilisi lipo tayari kurudisha kisasi kwa jamaa, na tusipo mpigania JM anaweza akapotezwa
anaweza kuwa na umri mdogo, lakini akatenda kuliko mizee yenye umri wa baba yake, nani kakwambia uzee ndio utenda kazi, mbona tunamjadili huyu kijana, ujue ni ICON, kumbuka Biko alikufa akiwa na miaka 35 nakumbuka, lakini anaheshimika kule kwa madiba sambamba na kina Walter Sisulu, Oliver Tambo....bro jerry mtu mdogo sana kufananisha na kesi ya kombe,jerry ni mwandishi wa habari kijana tu,kwa ninavyoijua bongo mimi,sawa inaweza kuwa polisi walimbambikia lakini inaonekana hata yeye alishaingia kingi mil 10 za chapchap kijana yeyote ofisi yeyote bongo haziachi mzee,haya licha ya mambo ya rushwa vitu alivyokamatwa navyo ndio msala zaidi,na sidhani kama mtu anaweza kubambikiwa kisha kutishwa asitoe ukweli hasa kwa mwandishi wa habari,anyway story yote ni kizungumkuti tu,mi nataka na yeye atoe maelezo yake tusikie,lakini kaambiwa hatakiwi kusema chochote na kakubali,ndo mana nasema kuna mahali muro atakua kakosea na ndio maana kakaa kimya atherwise tungesikia mengine kabisa.