Video: Kipaji OG...watoto wa .com ni noma!!!

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
538
tufunge siku leo kwa kutazama vipaji OG kutoka kwa watoto wetu wazuuri wa kiafrika....burudani mtambuka kama hizi unaziangalia ukiwa umechoka chokiiii.....

[HASHTAG]#NEXTCELEBS[/HASHTAG]

tatizo c watoto ni huzuni kwa baba mzazi kumfundisha mwanao kukata viuno iwe ni utani au seriously. unajisikiaje kuwa mtoto (kijana/ binti) wako anaulizwa studio au shuleni nani kakufundisha haya anasema kwa sauti kubwa NI BABA!!! pumbavu zako wewe mzazi wa kiume mnaharibu kizazi hiki.
 
Kufundisha Watoto Upumbafu wa Kibashite.

Kwa sisi waafrika muziki upo kwenye damu. Kwahiyo kucheza muziki wala sio ushenzi au upumbavu. Hayo mawazo yenu ni ya kiarabu na ya kizungu
 
Wazazi wanaofundisha watoto kuwa hivyo kama kwenye video wanajiandalia familia mbaya sana huko mbeleni

Ni kosa kumruhusu mtoto awe hivyo au kufurahia mtoto kuqa hivyo
Watoto wanahitaji ubora kuliko hivyo

Mungu haktupa uhai ili tuwe kama huyo mtoto
 
Back
Top Bottom